Anonymous Caller
JF-Expert Member
- Sep 8, 2016
- 679
- 870
Habari za Jioni wadau.
Leo usiku saa tano nchini Morroco nyota wa Kitanzania,
SIMON MSUVA anayeichezea Wydad casamblanca na Shabani Chilunda anayeitumikia timu ya Moghreb Tetouan zote za Morroco.
Wataziongoza timu zao zinazotarajia kucheza leo kwenye michuano ya kombe maalum.
Wydad ndiyo mabingwa wapya wa ligi ya nchini humo iliyomalizika hivi karibuni. Huku Moghreb Tetouan wao tayari wameshuka daraja.
Msuva anavaa jezi namba 27 Chilunda huvaa namba 43