Saint Ivuga
JF-Expert Member
- Aug 21, 2008
- 54,762
- 59,204
-Mwanamke anaruhusiwa kumpa mme wake talaka kama atagundua kuwa viungo vya mwanaume havifanyi kazi na kama hawatafanya mapenzi kwa mda wa miezi sita.
-Mwanamke anaruhusiwa kumpa mme wake talaka kama viungo vya mme wake vitakuwa ni vikubwa kwa sababu mapenzi ni raha kati ya watu wawili na wala si karaha, na mwanamke inabidi aonyeshe vitu kama michubuko etc ili kuthibisha kuwa hakuna njia ya kuinusuru hiyo ndoa.
-mwanamke na mwanaume wakishaishi kwa miaka mitano hata kama hawajafunga ndoa wakiachana wagawane mali.
-ulipaji wa mahari usiwe wa lazima.
source: DW swahili
Kaaazi kweli kweli!Then itakuja kama hazai..kama hajui kupika na kufua..kama anakoroma!
umeona ee, hii ni haki ya kila mtu ya msingi kufanya window shop kwanzaIvugaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
-Mwanamke anaruhusiwa kumpa mme wake talaka kama atagundua kuwa viungo vya mwanaume havifanyi kazi na kama hawatafanya mapenzi kwa mda wa miezi sita.
Ndio maana nataka tupimane kwanza kabla ya ndoa!!! mambo ya kuuziwa mbuzi ndani ya kiroba hapana taka!!
Lizzy hii nayo sio ya kupuuzia ndgu yangu, sema kama anakoroma na mwenza wake akawa hakereki hapo hamna shida ila mimi naomba sana nisije kupata mkoromaji
Si mnavumiliana jamani ama??Besides..kukoroma kunazuilika!
umeona ee, hii ni haki ya kila mtu ya msingi kufanya window shop kwanza
-Mwanamke anaruhusiwa kumpa mme wake talaka kama atagundua kuwa viungo vya mwanaume havifanyi kazi na kama hawatafanya mapenzi kwa mda wa miezi sita.
-Mwanamke anaruhusiwa kumpa mme wake talaka kama viungo vya mme wake vitakuwa ni vikubwa kwa sababu mapenzi ni raha kati ya watu wawili na wala si karaha, na mwanamke inabidi aonyeshe vitu kama michubuko etc ili kuthibisha kuwa hakuna njia ya kuinusuru hiyo ndoa.
-mwanamke na mwanaume wakishaishi kwa miaka mitano hata kama hawajafunga ndoa wakiachana wagawane mali.
-ulipaji wa mahari usiwe wa lazima.
source: DW swahili
hapo kwenye red kama sijapaelewa vile.....,
hiyo michubuko ataonesha vipi?,
atamwonesha nani?
kwa njia ipi?
EEH MUNGU NAOMBA UZIDI KUNIONGEZEA ZAIDI SIKU ZA KUISHI ILI NIENDELEE KUONA NA KUSIKIA MENGI YALIYOMO KATIKA DUNIA HII.
Eeeenhh.....hapa nilipo nimechokea kabisa na hiyo sijui inaitwa sheria talaka ya Uganda.....
Haya labda itakuwa suluhisho la matatizo yao ya ndoa.
Hata sijui kama walifanya utafiti wa kutosha kama hayo pekee ndiyo chanzo cha migogoro mingi ktk ndoa zao.
mpimane nini?acha uzinzi heshimu ndoa,huruhusiwi kudu mpaka ndoaIvugaaaaaaaaaaaaaaaaaaaaa!!!!
-Mwanamke anaruhusiwa kumpa mme wake talaka kama atagundua kuwa viungo vya mwanaume havifanyi kazi na kama hawatafanya mapenzi kwa mda wa miezi sita.
Ndio maana nataka tupimane kwanza kabla ya ndoa!!! mambo ya kuuziwa mbuzi ndani ya kiroba hapana taka!!
SI NDIO MAANA WANATAFUTA SOLUTION .INCASE KUKIWEPO TATIZO KAMA HILImpimane nini?acha uzinzi heshimu ndoa,huruhusiwi kudu mpaka ndoa
Sheria ni mbaya na ya upande mmoja, mbona haisemi mwanaume akikuta mwanamke ana nyeti kubwa sana kiasi cha kukosa friction naye aombe ndoa ivunjwe!?