Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
hhhaha!! unataka uwape kina nani? wataje kwanzakhaaaa kwa kweli
Ivunga embu nitumia
hizo divorce paper nianze kugawa..
nitumie kama sita hivi nadhani zitatosha kwa sasa...
mmmhhhhh
hhhaha!! unataka uwape kina nani? wataje kwanza
mmmhhh usijali haupo kwenye list
hahahahahah lol
sasa unatuma aee/..lol
natuma ndio . donyt worry, au niikuletee kabisa mwenyewe?
kwa nini unaogopa? hahahhahahahahaha lol
una utani wa mangumi
dahhhhh embu acha kunichesha
eti niikuletee hahahahhaah lol
mmmhhhh
kwa nini unaogopa? hahah
hahahhaha!!! alijua kuwa soon mambo yote yatakuwa hadharanisiugopi
kama we utakuwa upande wangu wa kulia hahahhah lol
mmmhhhh naona Speaker ametuaga dahhhhh
alijua nachukua hizo paper hahah lol
hahahhaha!!! alijua kuwa soon mambo yote yatakuwa hadharani
kwa sababu hata huo swaada ukikaa naye zaidi ya miezi sita unaruhusiwa kumtema, hahah
hes so genious!!
hahahahahah lol
dahhh alijua nini unaleta hii thread hahahah lol
maana ye alileta ya kutukana wanawake mmmhhh
mmhh lakini nime miss kwa kiasi fulani hahaahah lol
kaenda JKT atarudi
sasa sijui atarudi vile vile au kivingine
Hapo bold duh, watu wwengi wangekuwa wameachana hapa kwetu-Mwanamke anaruhusiwa kumpa mme wake talaka kama atagundua kuwa viungo vya mwanaume havifanyi kazi na kama hawatafanya mapenzi kwa mda wa miezi sita.
-Mwanamke anaruhusiwa kumpa mme wake talaka kama viungo vya mme wake vitakuwa ni vikubwa kwa sababu mapenzi ni raha kati ya watu wawili na wala si karaha, na mwanamke inabidi aonyeshe vitu kama michubuko etc ili kuthibisha kuwa hakuna njia ya kuinusuru hiyo ndoa.
-mwanamke na mwanaume wakishaishi kwa miaka mitano hata kama hawajafunga ndoa wakiachana wagawane mali.
-ulipaji wa mahari usiwe wa lazima.
source: DW swahili
acha utani Gaga, ina maana mnafurahia kukaa hivi ?Hapo bold duh, watu wwengi wangekuwa wameachana hapa kwetu
Hufurahii ila yatupasa tuweze kuyashinda majaribu ya shetani, Mungu hapendi kuachana maisha ya watoto yanaharibika sanaacha utani Gaga, ina maana mnafurahia kukaa hivi ?