Awali ya yote napenda mshukuru Mungu kwa kutupa nafasi yakuchangia mawazo yetu ktk jamii. Ndugu msomi nasikitika natumia sim ktk kuandika mada yangu soo tuvumiliane pale mpango wangu hautokuwa mzuri. Leo ktk bunge na ktk kile hakikutegewe mh Simba alijikuta ktk wakati mgumu nakugundua kumbe bungeni sio kama ktk vikao vya Nec. Tìhetihetiheti! Kwa wale tulikuwa tupo makini tangu jana kusubiria bunge ambalo lilianza saa tatu asubuh, mh Simba akiwa mwenye nguvu nakujiamini huku akiwa ametinga vazi lenye moja ya rangi za bendera ya ccm huku akijiamin kama kada alijikuta akiwasilisha hoja isiyo na kichwa,miguu,mkia na macho, tihetihe! hehehehe! Jambo lakushangaza mh meja gene Gwiliza alimpa live kuwa kile amekileta hakina akili na nikama kujenga kamati za majungu ktk usalama. Mh Gwiliza alimpa live kuwa anaupinga nakumshangaa, kwa wale walifuwatilia Mh Dk slaa alimchana kiasi bunge lili rindima kwa makofi, bila kumuogopa au kujali nini mh Slaa akusita kuupinga kwakusema uwondolewe nakwenda kujadiliwa tena ktk hizo kamati. Ktk kile ambacho nadhani nikumdharau nakumuona hana uwezo wakutafakari, nakutoa maamuzi na ange faa kuwa mama kichen Pat. Ilifika nafasi ya Mh malecela, jamani mzee na mh malecela alimpa live huyu mwanamama na kumwambia tangu awe ktk siasa ajawah ona sheria yanamna hiyo. Malecela aliutumia muda vizuri kumsulubu kisiasa na kwa wale wanaojuwa maswala ya siasa kilichokuwa kinafanyika nikumwanika huyu mwana mama mh sofia simba mbele ya Mh Rais kuwa hana uwezo ktk wizara anaiongoza, pili mwanasheria alijikuta viwango na speed yake vikiwa vya kobe maana alichanwa live na mmoja wa wabunge jinsi kuna makosa yakiuwandish wa kisheria, mh shelukindo aliamua kumshughulikia mwanasheria mkuu kwakumfunza jinsi yauwandish wa sheria na kwa kweli mh warema alijikuta amepigwa gazi asiseme kitu. Jamani kwa ujumla leo Mh Simba amejuwa kumbe serikali sio uchekibobu nakupiga vijembe. General nadhani huu niuwaziri wake wa mwisho na kwa habari zakwenye kapeti ndio mwisho wa hilo jina ktk serikali. Atapewa kaz nyingine. Ila uwaziri labda akasome upya nakujirekebisha. Kiujumla bunge limemsulubu na amejuta cku ya leo!