Mswada wa ugaidi Kenya wawakera wengi

Mswada wa ugaidi Kenya wawakera wengi

Hili nalo swali la kuuliza...? OMG

Hahaha, jibu ni kwamba kuna vijana wengi wanatamani kwenda Somalia kujifunza ugaidi, kuna baadhi walikamatwa Arusha kwa ugaidi wakasema wamejifunzia Somalia. Najua mnatamani Kenya watoke kule ili muende mafunzo. Mnataka Somalia iwe terrorist breeding ground
 
Kenya hata waiteke somali nzima kimabavu bado hawatawaweza magaid hasa maana lazma tujifunze kwa nchi kubwa kama marekani kupigana na al qaeda watu wachache hadi leo hakuna walichofanya na kundi bado linanguvu na matawi ya ziada.

Iweje kenya kibaraka Wamarekani?
 
Wanachofanya serikali ya kenya ni kuzuia mafuriko na mikono. dawa ni kuondoa majeshi somalia tu.
 
Hii sheria ikipita itamfanya Kamwana mfalme,na ajabu wabunge wa Jubilee na watu wa mikoa ya kati na ya bonde wanaona ndio dawa pia ya kuwadhibiti Wakenya wengine hasa wa upinzani na wanadhani wao watakuwa kwenye madaraka milele. Ndugu zangu hiyo sheria ni kandamizi hasa kwa wapenda demokrasia ,hiyo sheria haitachagua huyu Mjaluo wala Mkikuyu kama mnavyodhani bali hii sheria itawanufaisha walio madarakani kwani ukiwauzi kidogo tu watatumia hizo sheria kandamizi kuwaadhibu.

Ole wenu mtaotaka kugombea madaraka na walio madarakani mtakosa hata pa kukimbilia,Kenya inageuka kuwa Zimbabwe au Ethiopia au Egypt .

Hata kwenye mitandao ya kijamii itabidi muwe waangalifu mnachoandika.Mtamkumbuka Kibaki na Raila.Na mwisho hata ubadili sheria vipi kama huna uwezo na utashi wa kukabili changamoto hutaweza kushinda. Siamini kama kuweka sheria za kidkteta ndio silaha ya kushinda ugaidi. Tayari Raisi ana mamlaka makubwa ,ndie amiri jeshi mkuu kwa hiyo hata sheria zilizopo zilitosha kabisa kumwezesha kupambana na vita ya ugaidi.

Nitakuwa wa mwisho kuamini kuwa sasa sheria hiyo ikipitishwa basi raisi ndio ataweza kushinda vita vya ugaidi.Bila mfumo mzuri katika jeshi la polisi,usalama wa taifa na jeshi yote hayo ni buure kabisa.

Alitolewa mkuu wa usalama wa taifa na kuwekwa mwingine je kuna mabadiliko?mfumo wa kupeana vyeo na kazi kwa kuangalia msingi wa kabila badala ya utendaji ndio unaangamiza Kenya na sio sheria zilizopo.
 
KikulachoChako

Kenya ikitoa majeshi somalia kazi yenu kama balozi wateule Tanzania wa hao magaidi inaisha! tukao huko tu kazi yako iendelee.
 
Last edited by a moderator:
ABUBAKAR SHEKAU

Hatutoki ng'o.
French woman kidnapped by Somali militants dies

Marie Dedieu, who was taken from Kenyan holiday resort to Somalia, has died, French foreign ministry says
Marie-Dedieu-007.jpg

Marie Dedieu, who was believed to have been kidnapped by Somali al-Shabab militants. Photograph:

A Frenchwoman kidnapped from her beach house on Kenya's northern coast by Somali gunmen nearly three weeks ago has died, the French government said on Wednesday.

The French authorities said they heard Marie Dedieu, 66, had died via intelligence officers dispatched by Paris to the region to seek her release. However, they said they had no information as to when she died or in what circumstances.

"Mrs Dedieu's state of health, uncertainty over the conditions of her detention and the fact that the kidnappers probably refused to give her the medication that we sent her lead us to believe that this tragic outcome is unfortunately the most likely," the foreign ministry statement said.

Dedieu used a wheelchair, had undergone two years of cancer treatment and also had heart problems for which she needed four-hourly medication. Her immune system was described by those who knew here as "very weak".

"It's a barbaric, violent act of utter brutality," foreign minister Alain Juppè said.

Earlier Nicolas Sarkozy had described the kidnapping as incomprehensible.

"How can anyone be so barbaric as to take a woman like this hostage?" he said.

A former journalist, she had been left tetraplegic by a car accident in her early 30s, but still spent eight months of the year in the Lamu region.

Colette Bel, a Frenchwoman who visits the area and knew Dedieu, told Paris Match: "Lamu was her paradise. It did her the world of good."

The newly elected Socialist party presidential candidate, François Hollande said on Twitter that he was "profoundly shocked" to learn of Dedieu's death.

On Wednesday the French foreign office demanded "the return of our compatriot's remains without delay and without conditions".

It re-stated the indignation of the French government in the face of "the total absence of humanity and the cruelty the kidnappers have shown".

"We want them identified and brought to justice," the ministry said, adding that the authorities wished to convey their "profound sadness" to Dedieu's family.

Dedieu was a leading figure in the French feminist movement in the 1970s.

Since the mid-90s, she has lived in a rented house on Manda Island in the Lamu archipelago, a popular tourist destination, for several months a year.

She had a Kenyan partner, and was well known and liked by locals as well as foreigners working in the hospitality industry.

If the kidnappers thought they had snatched a wealthy foreigner, they must have been disappointed.

She lived in a modest single-storey thatched home, known as a "banda" in Swahili, and constructed in a traditional African village style with no windows or internal doors, on a small parcel of land on the beach.

A group of armed men kidnapped her before dawn on 1 October, carrying her to a waiting speedboat before heading up the coast to Somalia.

The alarm was quickly raised, and a private plane belonging to a resort owner tracked the gunmen from the air. But the Kenyan navy, which has a base in Lamu, was slow to respond, and the kidnappers escaped to Somalia.

The abduction was the second in a matter in weeks in northern Kenya. In September a British woman was kidnapped a beach resort in Kiwayu, and her husband was shot dead. The woman is being held captive in Somalia.

The Kenyan government has blamed the Somali Islamist group al-Shabaab for the kidnappings, though the militants have strongly denied this. Pirates and criminal gangs, rather than rebels, have been responsible for the vast majority of previous kidnappings in or around Somalia. Large ransoms are usually paid.

After two Spanish aid workers were kidnapped from the Dadaab refugee camp in northern Kenya last week, the Kenya government launched a land and air offensive into southern Somalia, where al-Shabaab is strong.

The initial justification for the operation – Kenya's first significant cross-border military campaign since independence – was that the army was hunting down the kidnappers.

But with more than 1,500 Kenyan troops advancing far into Somalia, it appears the goal is far more ambitious: to create a thick buffer zone along the border that will eventually be held by forces allied to the weak government in Mogadishu.

Though the move seems to have support in Kenya, it is risky. Al-Shabaab has warned it will strike targets in Nairobi, and is likely to use its guerrilla skills to attack Kenyan forces in Somalia
 
Last edited by a moderator:
mfianchi

Kamanda, heshimba mbele.Mazee japo weye ni mbongo, hapa umeongea kama mkenya, na kama ningeweza ningekugotea "triple like"...😛opcorn:

Watanzania wengi wanaochangia hii mada wamelenga AL-Shabaab kana kwamba hizi sheri zitawathibiti al-shaabab.
Hapo ndipo tunavyodanganywa. Walengwa wa hii sheria ni wakenya waliopo upinzani na wale kwenye mitando. Kwa
taarifa yako siku hizi jamaa wamegoma kusoma magazeti maana yamejaa propaganda na upuzi mwingi wa uongo. Kwa
hivyo source of news imekua social media hususan Facebook maana hua tunapata habari immediately inapotokea.
Mpaka hata serikali inashindwa vipi...mikutano yao yakisiri pindi inapoanza wakikutan kwenye mahoteli na sehemu kama hizo
unakuta wahudumu wa kawaida wanapiga picha na ku-forward kwa watu kadhaa on the internet alafu within minutes the
new is all over the country.

Sasa tunaambiwa hata kabla ya kufanya hivyo lazima polisi wakubali kwanza...gaadem! Je kama ni picha zao kupokea hongo?..unadhani watakubali? ama kama ile seketa ya Westgate walipokua wanajaribu kuficha infor ya KDF waliboprongo na kuua polisi ambao walikuwa mstari wa mbele kuwakamata wale wahalifu. Alafu KDF wakaingia mle ndani na kuiba mali ya wafanya biashara. Mkuu wa Jeshi Gen Karangi akajaribu kutetea upuzi lakini picha zilikua
tayari kwenye mitando zikionyesha jamaa na mabefi meupe wamekomba mali za watu...nyambuff sana hii watu.

Alafu sasa huyu Kenyatta anataka kuturudisha siku za dingi yake ambapo kulikua na detention without trial. Iwapo rais kachoka na mpinzani wake, jamaa anafuatwa usiku wa manane nyumbani na kuswekwa lupango mitaa ya kamiti.

Watu wakiamka asubuhi mnasiki mwa-fulani karukiwa jana and he has been detained...afu hizo hazikua na mda. Yaani
kifungo chako ad-infinitum. Kina Raila na wenziwe waliteswa sana na huu upuzi.

Wengine walikata tamaa jela na kufa. Watu kama kina marehemu Martin Shikuku walisota sana mpaka afya ikazorota mbaya sana...all because he said "KANU is dead" huku kashikilia jogoo mkutanoni na kumchinja. Leo hii sikui Bongo akitokea mtu aseme CCM imekufaa atafungwa
bila trial?...nauliza maana sijui katiba ya Bongo kama ina hivho kipengee.

Alafu ndugu zetu wa NEP watapata taabu sana maana inasadikika, watavuliwa uraia afu waambiwa ku-apply upya!
Balaa iliojhe jamani...tunavyojua serikali zetu za Afrika na mambo kama haya ya ku-apply vibali. Huo ndo malango wa
hongo na watu kunyimwa uraia bila sababu.

Mskize Ahmednasir Abdullahi anavolonga hapa... https://www.jamiiforums.com/kenyan-...ule-will-not-liberate-us-from-terrorists.html

We do not need to amend our constitution to avert terrorism. We have all mechanisms to win this war but ni
utendaji na uzembe wa hii serikali ya Jubilee ambao unatulet down.

Uhuru Kenyatta anataka kuturudisha miaka 40 nyuma na hatutakubali huu upuzi!
 
Last edited by a moderator:
Ab-Titchaz

Mkuu ni kweli kuna wengi wameona hizo sheria si nzuri hata mkuu Dhuks(sijui kama nimepatia)naye kwa mara ya kwanza kama alivyo Grand Mulla,amesema hii sheria iangaliwe upya, nashangaa hawa wanasiasa kuwa kujifanya vipofu wakati wanaona,siku hizi tutakuwa tunaenda Kenya tukiacha laptop na simu zetu huku TZ kwani unaweza pekuliwa bure na kupelekwa ndani.

Wanasiasa ndio daima husababisha vita,pia angalia dharau ya Uhuru kaenda kumchukua mbunge wa ODM bila ruksa ya ODM na kumfanya waziri huku ni kuleta tension za bure, kwani huko Kajiado si kuna watu wasio wabunge na wanaweza fanya hiyo kazi nahuyo mjinga sasa anajidai eti yeye atamuogopa Mungu na UhuRuto tu.
 
Last edited by a moderator:
Nshu yote jamani ni nini chanzo si alshabaab?jamani hawa jamaa sio wazuri kwani wao wamefanya hata matukio ya wakenya wenyewe yasemwe ni alshabaab. Kinachotakiwa muangaliane wenyewe kwa wenyewe msije kilajambo alshabaab nikuwapa nguvu, na kuweka sheria kama mnamkoloni jamani.
 
Back
Top Bottom