Unapiga na mti wa mwarobaini mkuu 😁😁
Ushauri mzuri, pia tusisahau kuitumia, wale wa kupiga mswaki 1 @24 hrs walau tujitahidi tufike kwenye 2 24hrs[/USER].TUKUMBUSHANE
kununua miswaki
mipya mwaka 2019
Wengine humu
hamnunui miswaki
mipya mpaka
uwanguke chooni
unaishi uswahilini wewe na unaswaki chooni ptuuuTUKUMBUSHANE
kununua miswaki
mipya mwaka 2019
Wengine humu
hamnunui miswaki
mipya mpaka
uwanguke chooni
Mkuu mswaki unaswaki wapi? Uzunguni na Uswahilini Kuna utofauti gani katika kuswaki?
Mimi nataka kujua anaswaki wapi yeye kitandani au jikoni 🤣🤣🤣
Ngoja tusubirie jibu, natamani kujifunza..Mimi nataka kujua anaswaki wapi yeye kitandani au jikoni [emoji1787][emoji1787][emoji1787]
kwanini uulize uzunguni na sio kijijini?
Umemhukumu kwamba anaishi uswahilini simply baada ya kusema kwamba "yeye" alibadili baada ya mswaki kudondoka chooni. Kila nyumba huwa na choo regardless ipo eneo lipi, sasa najaribu kufikiri pasipo majibu, umetumia kigezo gani kama hitimisho kwamba anaishi uswahilini? Wapi labda kimezungumziwa choo cha shimo?!kwanini uulize uzunguni na sio kijijini?
pia uzunguni hakuna choo cha shimo
Sent using Jamii Forums mobile app
Kinyume cha uswahilini ni uzunguni. Yawezekana ukamtuhumu mtu ilihali nawe upo katika mazingira(uswahilini) ama hali husika?kwanini uulize uzunguni na sio kijijini?
pia uzunguni hakuna choo cha shimo
Sent using Jamii Forums mobile app
Miaka 2 si jambo dogo! Ingakuwa miaka ile ya 1978 to 1979 ningesema vita vya Kagera ama Tz -Uganda War, hii yako ilikuwaje kiongozi?!Niliwahi kutumia mswaki mmoja toka 2013 - 2015.
Nilikuwa porini kipindi chote hicho.
Okay, maisha ni safari, kuna mazingara binadamu hulazimika kupitia ktk kufikia mafanikio.Kazi kazi yaani unakaa porini hadi unanukia unyama unyama.
Yuko sawa mkuu, mtu unapaswa uswaki sehemu ya falagha, kwani kuswaki ni usafi kama kuoga, kutawadha (kuchamba) hivi vyote hufanyika sehemu maalum.