MSWAKI MPYA!!

MSWAKI MPYA!!

kwanini uulize uzunguni na sio kijijini?
pia uzunguni hakuna choo cha shimo


Sent using Jamii Forums mobile app
Umemhukumu kwamba anaishi uswahilini simply baada ya kusema kwamba "yeye" alibadili baada ya mswaki kudondoka chooni. Kila nyumba huwa na choo regardless ipo eneo lipi, sasa najaribu kufikiri pasipo majibu, umetumia kigezo gani kama hitimisho kwamba anaishi uswahilini? Wapi labda kimezungumziwa choo cha shimo?!
 
Back
Top Bottom