nadry
JF-Expert Member
- Oct 4, 2017
- 606
- 596
Kuhusiana kichwa habari hapo juu, Msweet kama upo humu JAMII FORUMS naomba tuwasiliane kupitia DM.
Usinielewe vibaya, kuna uzi uliutoa siku za nyuma siku za nyuma nimeuona siku za karibuni kuhusiana supplement (virutubisho) fulani.
Nakuomba kupitia DM unisaidie nijue unapovipata virutubisho hivyo.
Ni hilo Tu.