usiweke maanani kila kinachoandikwa humu mkuu. wengine humu ni sehemu ya kustarehesha akili.Yaani wewe jamaa una miaka 30? Kwa hizi comment zako na nyuzi za kipuuzi nilidhani utakuwa dogo wa miaka 17-21 something. Kwa akili zako kwa mujibu wa posts na threads zako basi ina make sense kuona maisha ni magumu yasiyo na njia ya kutokea.
Watanzania mnakwama wapi aisee?