Mtaa mgumu sana aisee

usiweke maanani kila kinachoandikwa humu mkuu. wengine humu ni sehemu ya kustarehesha akili.
 
As long as unaamka kila siku ukiwa na afya njema na nguvu ya kufanya kazi utafika unapohitaji. Keep on keeping on.

Birthday Blessings.
 
Hilo tabia ya kulalamika lalamika huwa inaongeza ugumu maradufu! Jikaze mtoto wa kiume!
 
Hongera kwa kutimiza 30yrs, ishi miaka mingi na ufurahie uhai.
Haya mengine yanapita tyuuh.
THANKS BABY LOVE na wew uwe una comment kiki kike na sio kiume etiiii tujue wee unatuzidi mashimo
au nimekosea wajuba ???? hehhhhh hatareeeeeeeeeeeee
 
Hongera kwa kutimiza 30yrs, ishi miaka mingi na ufurahie uhai.
Haya mengine yanapita tyuuh.
nani kakufundisha tabia ya kutoa password fridge lako haligandishi..? nitakufundisha wewe binti mpaka uwe wife material ndo nikuwowe...πŸ˜‚
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…