Tunawakakaribisha Wageni waje kuishi Tz,ukarimu wetu ndio unatuponza wanatake advantages kufanya mambo ya uhalifu,na katika africa nchi ambayo bado ina watu wakarimu nadhani ni Tz.nchi nyingi za africa Zina ukabila na udiniwajinga wanasapoti wanaijeria ioa hao jamaa ni hatari wanapenda biashara ya kuuza watu ndo zao , SA sio wajinga kaa tunavyofikiri
Uchumi wa a level ni upuuzi tu,nenda kanywe kahawa na kaka yakoSito kujibu tena for sure maana wew ni wa kupuuzwa....
Unacho, tunacho bishania sikioni so nilikwambia mara kadhaa soma hii thread tangu nilipo Anza kuchangia hujafanya ivyo MR. SARCASTIC
Huo uchumi unao jimwambafy kuujua sisi wengine tumeusoma tena kwenye shule ya vipaji maalum 😂😂🤣🤣
Huko university na degree mbili zote zipo kabatini...
Kaka angu Toxic Concotion hapa jukwaani aliwai nambia "Never argue with a fool; onlookers may not be able to tell the difference" ☺️☺️🤓🤓
Wasalaam.
🇹🇿🇹🇿🇹🇿
Mifumo dhaifu ya kimtandao ni kivutio namba moja kwa hao mabwana
Mifumo rahisi ya kimichongo ya kufanikisha dili mbalimbali haramu ni kivutio namba nyingine kwa hao mabwana
In this crazy world!So far so good, we're still living today!
Mkuu upo mkoa gani.... Unasema masaki na oysterbay sio sehem za bata au nimekuskia vibaya?Acha kukariri bro
Wanaija wako huku kibao na tunachonga nao mm sio punguan kuweka Uzi huu
Ndg zako wanaokuja dar wanakudangany kwamba masak na oystby n sehem za Bata kwa taarfa yako hizo n sehem zenye washua weng tu na sio sehem za Bata kama unavyodanganywa
Anyway karibu dar ujionee mwnyw
Waliipotezea Tanzania?Wanatafuta maisha
Maisha popoteWaliipotezea Tanzania?
Mkuu..segerea ipi?Ni kweli,wiki iliyopita nilikuwa maeneo ya tabata segerea kwenye bar moja naangalia mpira na washkaji zangu, pale walijaa Waganda na Wanyarwanda.
Nilikuja kuwagundua kwa lugha zao,tena walikuwa hawajifichi..kingereza na kilugha chao waziwazi.
Hatari SanaMheshimiwa Rais tupia jicho idara ya uhamiaji,kama ulivyoimulika polisi!! Hali ni mbaya nchi imevamiwa na wageni!!
Wamalawi,wanaijeria,wakameruni wamevamia nchi wananunua hivi viwanja vinavyouzwa na makampuni binafsi,mbaya zaidi hawaulizwi utambulisho wao kama national id !! Haya makampuni yanayaka pesa tuu!!
Wamejaa Sana huku gezaulole wengi wananunua viwanja vilivyo ufukweni!! Ni hatari Sana, hasa suala la madawa ya kulevya!! Pia ukienda tuangoma,kimbiji wapo wa kutosha usiku ndio hujiachia !!
Idara ya uhamiaji ni wapigaji tuu wanakuja usiku na kuondoka!
Hawa jamaa ni wajanja Sana usiku hujichanganya bar na kucheza pool table Kwa lengo la kujifunza kiswahili Kwa watanzania