Analogia Malenga
JF-Expert Member
- Feb 24, 2012
- 5,108
- 10,191
ππ π ukute kumejaa broVijana mfanye mhamie huko
πππ Aki inawezekanaππ π ukute kumejaa bro
Kwa hiyo machinga ndio wanachafua mazingiraIla nje kusafi jamani. Hakuna machinga kabisa.
Sala za kikatolikimbona hukuweka namna ya kumuombea? pengine ana sala yake..!π
Kwani hujui?kwa hiyo machinga ndio wanachafua mazingira
Uchokozi huo!ππIla nje kusafi jamani. Hakuna machinga kabisa.
Labda wanaomba kwa nguvu na sauti isikikeπππππWatajuaje kama namuombea au la?
Hapo ni mwendo wa house party tu na music in low voiceNyumba zilizoko Fuggerei, Augsburg Ujerumani zilijengwa mwaka 1521 na Jacob Fugger ambapo tangu hapo hadi leo bei ya kuishi humo haijapanda. Unalipa dola 1 (Tsh. 2300) kukaa mwaka mzima
Masharti ya kukaa kwenye nyumba hizo ni lazima uwe mkatoliki, umuombee Jacob Fugger mara tatu kwa siku, pia wakazi hutakiwa kuwa nyumbani saa nne usiku, zaidi ya hapo mageti hufungwa
Fugger aliyekuwa tajiri wa kipindi hiko alijenga nyumba hizo ili kuwasaidia wasio na uwezo (Giving back to the community)