Mtaa wa Pili Kaeni Chonjo: Msiyempenda Anakuja

Simba Strike search.
Judges: Hans pope a.k.a Madam Ritha.
Haji manara: a.k.a Salama Jabir
Aveva a.k.a Master jay
 
nasikia hata huyo amedengua afu mwingine kakataa kifanywa majaribio,,,,tehtehteh!!!!

ukishangaa ya RAGE utayaona ya MAMBUMBUMBU
 
Ndani ya wiki mbili zilizopita, Kamati ya Usajili ya Simba SC imekua iki haha huku na kule kuleta washambuliaji mbalimbali kwa ajili ya kuja kufanya majaribio.. ili wakifanikiwa wawe miongoni mwa wachezaji wachache sana waliowahi kuitumikia timu bora kuwahi kutokea ukanda wa CECAFA, Simba SC.
Lengo la zoezi hilo lilikua ni kupata deadly straika [20+ goal's holder] wa kuongeza nguvu kidooogo katika safari yetu ya kuchukua makombe 4 + Ngao 1 ya Hisani msimu ujao.. makombe hayo ni;

1. Vodacom Premier League
2. Kombe La Shirikisho a.k.a FA Cup
3. Mtani Jembe 3
4. Kombe La Muungano
5. Ngao ya Hisani

Kati ya washambuliaji wote ni Kelvin Ndayisenga pekee ndiyo aliweza kuzikonga nyoyo za Benchi la Ufundi, Mashabiki n.k. Hii ilitokana na kiwango cha ajabu saaaana alichokionesha katika mechi ya majaribio.
Kiwango alichokionesha hakikuiacha salama kambi ya mtaa wa pili, kwani kiliwafanya wawe wanapiga dua mchana na usiku ili Kelvin asitue Msimbazi.

Mwanzoni ilionekana ni ngumu kutua, baada ya Kelvin kutaka day zito.. lakini sasa hali imebadilika kwani Uongozi umeamua kuvunja kibubu na kumpa kila anachotaka ili aje kuitumikia Simba SC.. na mda si mrefu atatua Bongo kusaini mkataba.

".. kwa ujio huu wa kelvin a.k.a tormentor nadiriki kusema ile jig-saw puzzle iliyokua ikitusumbua vichwa, sasa imekamilika rasmi.. na 12/09/2015 ifike mapema" ~ sembo

Kwa Matomaso: http://salehjembe.blogspot.nl/2015/08/simba-yaachana-na-wasenegali-yamrudisha.html?m=1

Mkuu vipi huyo jamaa keshafika, au ndo bado yuko njiani?
 
Nachojua;
1. Anatoka Burundi
2. Umri miaka 25
3. Rekodi akiwa Tanzania, Mechi 1/Goli 1 [hapa ni kama Ronaldo vile]
4. Player Rating, katika mechi iliyopita 10/10

Alafu, Inaonekana Mkuu hata mpira hufatilii, Siku ya Simba Day 08/08/2015 alitupia goli la kideoni, nadhani litakua goli bora la mwaka la FIFA [asante Azam TV kwa kufanya lionekane dunia mzima]. huku akionesha kiwango cha hali ya juu saaana, tuliokua uwanjani ni mashahidi.
Ligi aliyotoka kafunga bao ngap Mkuu
 
Kwani dirisha la usajiri bado halijafungwa??????????????????????
Km bado bas hilo sio tena dirisha labda utakuwa MLANGO!
 
Mkuu goal alifunga awadh juma kwa huyo m'burundi hapana hakufunga ktk simba day myb alifunga na ura ya uganda
 
Nachojua;
1. Anatoka Burundi
2. Umri miaka 25
3. Rekodi akiwa Tanzania, Mechi 1/Goli 1 [hapa ni kama Ronaldo vile]
4. Player Rating, katika mechi iliyopita 10/10

Alafu, Inaonekana Mkuu hata mpira hufatilii, Siku ya Simba Day 08/08/2015 alitupia goli la kideoni, nadhani litakua goli bora la mwaka la FIFA [asante Azam TV kwa kufanya lionekane dunia mzima]. huku akionesha kiwango cha hali ya juu saaana, tuliokua uwanjani ni mashahidi.

...una unachojua...simba day...Kelvin Ndayisenga hakucheza....pia angalia list ya timu yako hii unayoisema safu ya ushambuliaji utajua uko na akina nani..then rudi hapa tuambie nani (20+ goal holder)..kwa misimu miwili iliyopota
 
Subiri ligi ianze ndo utamuona 20+ goal holder.
 
Kwani dirisha la usajiri bado halijafungwa??????????????????????
Km bado bas hilo sio tena dirisha labda utakuwa MLANGO!

Mkuu Dirisha la wachezaji toka nje ya nchi bado halijafungwa.
 
Ndani ya wiki mbili zilizopita, Kamati ya Usajili ya Simba SC imekua iki haha huku na kule kuleta washambuliaji mbalimbali kwa ajili ya kuja kufanya majaribio.. ili wakifanikiwa wawe miongoni mwa wachezaji wachache sana waliowahi kuitumikia timu bora kuwahi kutokea ukanda wa CECAFA, Simba SC.
Lengo la zoezi hilo lilikua ni kupata deadly straika [20+ goal's holder] wa kuongeza nguvu kidooogo katika safari yetu ya kuchukua makombe 4 + Ngao 1 ya Hisani msimu ujao.. makombe hayo ni;

1. Vodacom Premier League
2. Kombe La Shirikisho a.k.a FA Cup
3. Mtani Jembe 3
4. Kombe La Muungano
5. Ngao ya Hisani

Kati ya washambuliaji wote ni Kelvin Ndayisenga pekee ndiyo aliweza kuzikonga nyoyo za Benchi la Ufundi, Mashabiki n.k. Hii ilitokana na kiwango cha ajabu saaaana alichokionesha katika mechi ya majaribio.
Kiwango alichokionesha hakikuiacha salama kambi ya mtaa wa pili, kwani kiliwafanya wawe wanapiga dua mchana na usiku ili Kelvin asitue Msimbazi.

Mwanzoni ilionekana ni ngumu kutua, baada ya Kelvin kutaka day zito.. lakini sasa hali imebadilika kwani Uongozi umeamua kuvunja kibubu na kumpa kila anachotaka ili aje kuitumikia Simba SC.. na mda si mrefu atatua Bongo kusaini mkataba.

".. kwa ujio huu wa kelvin a.k.a tormentor nadiriki kusema ile jig-saw puzzle iliyokua ikitusumbua vichwa, sasa imekamilika rasmi.. na 12/09/2015 ifike mapema" ~ sembo

Kwa Matomaso: http://salehjembe.blogspot.nl/2015/08/simba-yaachana-na-wasenegali-yamrudisha.html?m=1
Mkuu Sembo ww ni miongoni mwa mashabiki wachache wa simba hapa jf ambao nilikuwa nawakubali kitambo lakin siku hizi umekuwa mbwabwaji wa maneno mengi kama Msemaji wenu wa timu Haiji Kung'ara.
Ulioongea sana kuhusu Mavugo, baadae ukaleta stori za Papa Niang yule mtalii kutoka Senegal hapo napo ukachemka, bado huko nyuma alitamba na mashairi ya Ndayisenga, ukaja na ngonjera za N'daw.
 
Papa Niang nae mlimpa promo kumbe ni muuza mitumba Senegal sasa mnampaisha huyu nae
 
Back
Top Bottom