Mtaa wa Ufipa yalipo makao makuu ya CHADEMA wakumbwa na mafuriko, wakazi waililia Serikali

Mtaa wa Ufipa yalipo makao makuu ya CHADEMA wakumbwa na mafuriko, wakazi waililia Serikali

johnthebaptist

JF-Expert Member
Joined
May 27, 2014
Posts
97,869
Reaction score
171,716
Mtaa maarufu wa Ufipa uliopo wilaya ya Kinondoni mkoani Dar es Salaam umekumbwa na mafuriko kufuatia mvua iliyonyesha leo.

Wakazi wa mtaa huo wameiomba serikali kuwaondolea kero hiyo inayosababishwa na ujenzi wa barabara.

Ufipa st ndipo yalipo makao makuu ya chama kikuu cha upinzani (Chadema)

Mwenyekiti wa serikali ya mtaa mzee Abdulasul amesema wanaishughulikia kero hiyo na wameanzia mtaa wa Togo kisha wataingia hapo Ufipa st.

Source: Eatv habari!

 
SO WHAT?
1EC4B635-A28A-41F6-9BB4-CD54A1323221.jpeg
 
Huo mtaa anaishi fundi wangu wa gari, mtaa wa hovyo sana
 
Mbona unawashwa kiasi huwezi fanyia evaluation mada zako kabla ya kuzipandisha hewani?
 
Bwashe bado hiki chama kinawakerrketa?

So hakin mbunge hata mmoja
 
Back
Top Bottom