matunduizi
JF-Expert Member
- Aug 20, 2018
- 9,514
- 23,523
Mkuu tuchimbue tena!Picha ya mabomba na mitaro?
Mkuu tuchimbue tena!!!Picha ya mabomba na mitaro?
Liloshindikana miaka 60 au siku 21,960 limefanyika kwa siku 30.Africa tuna kazi sana haki inafanywa hisani maji safi na salama kuletwa ulipo ni huduma ya kimsingi kwa binadamu yoyote na ni jukumu la serikali..
Ninapokua ughaibuni huku na ninaona niliyoyaacha miaka 19 huko iliyopita huko nyimbani ni yale yale napata wasiwasi sana kusikia mtu anasema "mabeberu wanatuonea wivu "
Hivi inawezekanaje mtu ana umeme wa kutokana na nyuklia, upepo ,gesi nk na bado halali kuzidi kuongeza ziada yake ashindane na mtu ambaye baada ya miaka 60 anapata maji na kuona ni tukio la kustaajabisha na la kuhitaji sherehe kabisa?