K kibobori mahoro JF-Expert Member Joined Dec 12, 2022 Posts 7,452 Reaction score 10,785 Dec 6, 2024 #181 Vile vile ondoeni aibu kwenye katiba katika hiki kipengele cha mbunge, "ajue tu kusoma na kuandika " mbunge wa darasa la saba anatunga sheria bungeni!!!.
Vile vile ondoeni aibu kwenye katiba katika hiki kipengele cha mbunge, "ajue tu kusoma na kuandika " mbunge wa darasa la saba anatunga sheria bungeni!!!.