Mtaala wa Udaktari Udurusiwe


Kiufupi afisa tabibu anabahatisha kutibu labda kwa vitu ambavyo ni basic sana yaani sana tena ambavyo viko straightforward.

Hajui pharmacology deepdown hana tofauti na dispenser wa kawaida, majibu ni changamoto fullblood picture na urinalysis tu zinawatoa jasho labda asome Hb na leukocytes na glucose kwenye urine.

Kwenye dripu(infusion) chenga tu hajui tofauti ya NS na RL.

Kuzalisha ndio kabisa bora nesi wa certificate, ikija case ngumu lazma apoteane.

No offence but, shule ya CO ni too shallow and outdated inafaa kuisoma kama ngazi ya kupandia kwenda degree lakini sio kutibu.
 
Kwa hiyo nikigoogle naweza fanya hadi operesheni [emoji120][emoji120]
 
Kada ya afy na kazi zake ni pana sana ndugu especially kwenye jamii zetu hizi ambazo kila uchwao magonjwa yanakuwa mengi hivyo kuna muda kugoogle sio kuwa kuna lack of professionalism hapana ni kuwa kutafuta justification ya kile kilichokuwa suggested katika dalili husika za clients .

Japo sibishi sana vilaza wapo but huwezi kumuona huko kwenye kugoogle ukilaza wa mtu wa afya hasa daktari kuna maeneo ya kumjua mtu kuwa hiki ni kiazi [emoji3] mazingira ambayo ni vigumu nyinyi clients kuyajua .
 
Unataka miaka iwe mingapi!? Afu kwann iwe udaktari tu unafikiri wa Education aliesoma Diploma miaka mi3 au Mi2 yeye huwa anasoma mwaka mmoja mkuu!?

Kama huwezi kusoma hiyo miaka mi5 acha tu ufanye issues zingine mkuu!?
Hujamwelewa mleta mada,punguza kukurupuka
 
Ana Google mbele yangu mkuu halafu useme sio kilaza

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
 
Ana Google mbele yangu mkuu halafu useme sio kilaza

Sent from my SM-N950F using JamiiForums mobile app
Linalogoogle mbele yako sio kilaza tu nilijinga maana limeshindwa kuishi na psychology ya client .

Ila anayejielewa hawezi google mbele yako ni mara mia akuache ndani au aseme toka nje kwanza au amuite daktari mwenzio ili atoe neno pia .
 
Mimi nilimaliza CO 2006,nakula maisha,napiga kazi nisome ilinigundue nini?
 
Madaktari wengi wa sasa ni changamoto sana.
 
Vipi matokeo yao chuo kikuu,huwa wanawanyoosha wale waliotoka form 6 direct?
 

Clinical officer sio daktari

Hizo ulizotaja hapo anasoma tofauti kbs na MD

Anapiga introductions tu..

Mfano:Anasoma Anatomy bila caddava sasa for unazani uelewa utalingana na MD anaesoma deep


Kwanza MD haina DIPLOMA…

Uwe C/O uwe AMO uwe form6 miaka 5 iko palepale

PERIOD!!!
 

Acha ushamba !!

Huwezi kalili kila kitu sio hesabu iyo na hakuna formula

Yes!! Acha agoogle jinsi anavogoogle daktari ni tofauti na wewe yeye anajua anatafuta nini sehemu sahihi ya kupata correct infos.

Wakati mwingne daktari anaingia medscape kuchek dose sio kosa…au

Kuna muda anawasha simu ili atumie calculator aweze kutoa dose kwa usahihi,,whats the problem


Mbona wazungu wako honest anamwambia mgonjwa hiki nmesahau kidogo ngoja niangalie kene files
 
Umeandika uongo na upotoshaji mwingi sana hapa.
 
Kama kuna mtu hataki ahame NCHI
 
Mwenye cheti anaitwa clinical assistant na mwenye diploma anaitwa clinical officer.
 
Kwenye fani nyingine kama nursing na ualimu sawa hata nchi nyingine wanafanya upgrading lakini sio kwenye afta
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…