DA HUSTLA
JF-Expert Member
- Mar 5, 2012
- 3,805
- 4,107
Hapo 1- 6 namaanisha je, mhitimu wa kidato cha 6 anajuwa kuandika dawa? Je, anajuwa upasuaji mdogo? Je, anajuwa kusoma ripoti za Maabara? Je, anajuwa kushona nyuzi? Je, anajuwa kudunga sindano? Je, anajuwa kuzalisha mjamzito? Je, anajuwa kuweka dripu?
Wenye Diploma ya Utabibu wakienda Digrii ya Udaktari wapunguziwe miaka ya kozi.
Kiufupi afisa tabibu anabahatisha kutibu labda kwa vitu ambavyo ni basic sana yaani sana tena ambavyo viko straightforward.
Hajui pharmacology deepdown hana tofauti na dispenser wa kawaida, majibu ni changamoto fullblood picture na urinalysis tu zinawatoa jasho labda asome Hb na leukocytes na glucose kwenye urine.
Kwenye dripu(infusion) chenga tu hajui tofauti ya NS na RL.
Kuzalisha ndio kabisa bora nesi wa certificate, ikija case ngumu lazma apoteane.
No offence but, shule ya CO ni too shallow and outdated inafaa kuisoma kama ngazi ya kupandia kwenda degree lakini sio kutibu.