Kwanza nina wasiwasi na uelewa wako wa mambo.
Kuna Ngazi ya Cheti(astashahada/Certificate)- miaka 2. Hawa wakihisajiliwa wanajulikana kama- Tabibu wasaidizi( Clinical Assistants).
Halafu ndio kuna Stashahada(Diploma)- Tabibu(CO). Hii ni 3 years.
Nikija kwenye mada
Vyuo vingi kwa MD miaka Miwili ya Kwanza, Wanasoma Basic Sciences- Anatomy, Physiology, Biochemistry, Pathology, n.k.
Hapa wanakuwa deep,
Mfano
Hiyo Anatomy- wana-explore human body from head to toe. Every Muscle,bone, joints, falcia, blood Vessels, Nerves, Organs n.k in theory and Practicals.
Hiyo ni Anatomy tuu, Njoo Biochemistry, Njoo Pathology( hapa wanasoma every disease associated with human body). Bado Physiology, Microbiology n.k.
Sasa Hivi Vitu kwa Diploma na Certificate hawavisomi kwa Undani Huu( ndio maana wanasoma muda mchache)
Huwezi kumchukua mtu wa Diploma then umpaishe aanzie kwenye Clinical subjects.
Lazima atasumbuka, kuna Vitu vya muhimu ameviruka kwenye Basic Sciences.