Mtaala wa vitabu unaotumika na shule za english medium

ceasarphilly

Senior Member
Joined
Oct 17, 2012
Posts
121
Reaction score
28
Nilitaka kujua kuhusu vitabu vya walimu vya kufundishia, kila mwalimu anaagiza
mwandishi wake wa kitabu kiasi kwamba inatuchosha wazazi, mtoto aliyesoma mwaka jana na kitabu mf. hesabu mwaka huu hawezi kutumia mdogo wake mwaka mwingine. Tunachoshwa na hizo gharama mara mbili kulundika vitabu nyumbani visivyo na kazi .
 
Mbatia alitaka mtaala wa ELIMU akazinguliwa juzi kati pale mjengoni...so usitegemee lolote jipya.....
 
Sasa mbona jibu tu la kupata mtaala litatolewa tarehe 6/02/2013.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…