ceasarphilly
Senior Member
- Oct 17, 2012
- 121
- 28
Nilitaka kujua kuhusu vitabu vya walimu vya kufundishia, kila mwalimu anaagiza
mwandishi wake wa kitabu kiasi kwamba inatuchosha wazazi, mtoto aliyesoma mwaka jana na kitabu mf. hesabu mwaka huu hawezi kutumia mdogo wake mwaka mwingine. Tunachoshwa na hizo gharama mara mbili kulundika vitabu nyumbani visivyo na kazi .