Mtaalam huyu kanisaidia sana mtafuteni

Mtaalam huyu kanisaidia sana mtafuteni

kueni macho wengi wanaganga njaa. baada ya kupigwa vita kuweka matangazo kwenye nguzo za umeme sasa wanakuja na staili mpya.
 
Acheni ajiwekeee bango uko barabaran ,cyo umu.
 
Hata maelezo ya matibabu uliyotoa hayajitoshelezi kabisa.
 
hamna kitu
kama kakusaidia kuinua dushe
weka picha
before and after
 
Habari wadau! wale wote mnaosumbuliwa na mtatizo mbalimbali ya kiafya mtafuteni mtaalam huyu wa tiba asilia kwa upande wangu kanisaidia sana,nimeamua kumuweka hapa kwa kuwa amenisaidia sana, anaitwa Dk Werema namba yake 0754309709

Nahisi ni wewe mwenyewe unajipromote. Lakini usiogope
 
kwanza kibali unacho?maana wazir mkuu alishazuia vibali ngoja uje ukamatwe si umeweka namba yako nitakupigia kama mteja
 
Werema huyu aliyekuwa ag ambae ni mwivi...???
 
Back
Top Bottom