kmbwembwe JF-Expert Member Joined Aug 16, 2012 Posts 10,892 Reaction score 7,780 Dec 27, 2014 #21 kueni macho wengi wanaganga njaa. baada ya kupigwa vita kuweka matangazo kwenye nguzo za umeme sasa wanakuja na staili mpya.
kueni macho wengi wanaganga njaa. baada ya kupigwa vita kuweka matangazo kwenye nguzo za umeme sasa wanakuja na staili mpya.
Sodium JF-Expert Member Joined Feb 14, 2014 Posts 754 Reaction score 404 Dec 27, 2014 #22 Acheni ajiwekeee bango uko barabaran ,cyo umu.
Daata JF-Expert Member Joined Dec 24, 2012 Posts 4,673 Reaction score 1,875 Dec 27, 2014 #23 Hata maelezo ya matibabu uliyotoa hayajitoshelezi kabisa.
masai dada JF-Expert Member Joined Dec 29, 2013 Posts 16,207 Reaction score 14,343 Dec 27, 2014 #24 hamna kitu kama kakusaidia kuinua dushe weka picha before and after
Mwanyasi JF-Expert Member Joined Nov 16, 2010 Posts 7,955 Reaction score 7,109 Dec 27, 2014 #25 Domy said: Habari wadau! wale wote mnaosumbuliwa na mtatizo mbalimbali ya kiafya mtafuteni mtaalam huyu wa tiba asilia kwa upande wangu kanisaidia sana,nimeamua kumuweka hapa kwa kuwa amenisaidia sana, anaitwa Dk Werema namba yake 0754309709 Click to expand... Nahisi ni wewe mwenyewe unajipromote. Lakini usiogope
Domy said: Habari wadau! wale wote mnaosumbuliwa na mtatizo mbalimbali ya kiafya mtafuteni mtaalam huyu wa tiba asilia kwa upande wangu kanisaidia sana,nimeamua kumuweka hapa kwa kuwa amenisaidia sana, anaitwa Dk Werema namba yake 0754309709 Click to expand... Nahisi ni wewe mwenyewe unajipromote. Lakini usiogope
K king90 JF-Expert Member Joined Apr 18, 2014 Posts 368 Reaction score 219 Dec 27, 2014 #26 Anajipa kick huyu jamaa
wakulichomeka JF-Expert Member Joined Sep 22, 2014 Posts 517 Reaction score 142 Dec 27, 2014 #27 Matapeli mganga hajitangazi Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums
Pampula jr JF-Expert Member Joined May 2, 2013 Posts 606 Reaction score 192 Dec 27, 2014 #28 kwanza kibali unacho?maana wazir mkuu alishazuia vibali ngoja uje ukamatwe si umeweka namba yako nitakupigia kama mteja
kwanza kibali unacho?maana wazir mkuu alishazuia vibali ngoja uje ukamatwe si umeweka namba yako nitakupigia kama mteja
Domy JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 4,700 Reaction score 1,087 Dec 28, 2014 Thread starter #29 slim5 said: Mkuu mii nataka utajiri! Huyo fundi wako vp! Click to expand... Mpigie Sim mimi hayo siyajui.....
slim5 said: Mkuu mii nataka utajiri! Huyo fundi wako vp! Click to expand... Mpigie Sim mimi hayo siyajui.....
Domy JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 4,700 Reaction score 1,087 Dec 28, 2014 Thread starter #30 ladypepeta said: Mbona nimeangalia nimeona ni jina lako? Click to expand... Unalifahamu jina langu wewe!!!!!! acha usanii...
ladypepeta said: Mbona nimeangalia nimeona ni jina lako? Click to expand... Unalifahamu jina langu wewe!!!!!! acha usanii...
Domy JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 4,700 Reaction score 1,087 Dec 28, 2014 Thread starter #31 kmbwembwe said: kueni macho wengi wanaganga njaa. baada ya kupigwa vita kuweka matangazo kwenye nguzo za umeme sasa wanakuja na staili mpya. Click to expand... Uhuru wa mawazo...
kmbwembwe said: kueni macho wengi wanaganga njaa. baada ya kupigwa vita kuweka matangazo kwenye nguzo za umeme sasa wanakuja na staili mpya. Click to expand... Uhuru wa mawazo...
Domy JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 4,700 Reaction score 1,087 Dec 28, 2014 Thread starter #32 King Kong III said: Huyo karumanzira wako anatibu nini? For Promotional Use Only. Click to expand... Magonjwa mbalimbali.
King Kong III said: Huyo karumanzira wako anatibu nini? For Promotional Use Only. Click to expand... Magonjwa mbalimbali.
Domy JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 4,700 Reaction score 1,087 Dec 28, 2014 Thread starter #33 mzee74 said: ana dawa ya kuongeza nguvu ya kiume? Click to expand... Nimekuwekea namba yake mpigie.
Domy JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 4,700 Reaction score 1,087 Dec 28, 2014 Thread starter #34 pilipili kichaa said: Wote matapeli tu hawa Click to expand... Hayo unayajua wewe,mimi ninachojua anatibu.
pilipili kichaa said: Wote matapeli tu hawa Click to expand... Hayo unayajua wewe,mimi ninachojua anatibu.
Domy JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 4,700 Reaction score 1,087 Dec 28, 2014 Thread starter #35 Mwanyasi said: Nahisi ni wewe mwenyewe unajipromote. Lakini usiogope Click to expand... Endelea kuhisi hivyo.
Mwanyasi said: Nahisi ni wewe mwenyewe unajipromote. Lakini usiogope Click to expand... Endelea kuhisi hivyo.
Domy JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 4,700 Reaction score 1,087 Dec 28, 2014 Thread starter #36 wakulichomeka said: Matapeli mganga hajitangazi Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums Click to expand... Ninachojua mganga anatangazwa na wateja,,Na hapa nimemtangaza kama mteja wake.
wakulichomeka said: Matapeli mganga hajitangazi Sent from my BlackBerry 8520 using JamiiForums Click to expand... Ninachojua mganga anatangazwa na wateja,,Na hapa nimemtangaza kama mteja wake.
Domy JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 4,700 Reaction score 1,087 Dec 28, 2014 Thread starter #37 Kertel said: hiyo mbona ni namba yako,acha wizi wewe Click to expand... Endelea kudhani hivyo mkuu..Halafu hulazimishwi na mtu yeyote kumtafuta.
Kertel said: hiyo mbona ni namba yako,acha wizi wewe Click to expand... Endelea kudhani hivyo mkuu..Halafu hulazimishwi na mtu yeyote kumtafuta.
Domy JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 4,700 Reaction score 1,087 Dec 28, 2014 Thread starter #38 jamiif said: Amekusaidia nn? Weka na picha Click to expand... Magonjwa yana picha?
Domy JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 4,700 Reaction score 1,087 Dec 28, 2014 Thread starter #39 flora msoffe said: Heeee amekusaidia sana nini ????? au ndo wewe unatafuta Wateja Click to expand... Sijawahi kufikiria kuwa mganga wa tba asilia,Lakini naikubali tiba asilia kuliko unavyofikiri.
flora msoffe said: Heeee amekusaidia sana nini ????? au ndo wewe unatafuta Wateja Click to expand... Sijawahi kufikiria kuwa mganga wa tba asilia,Lakini naikubali tiba asilia kuliko unavyofikiri.
kabanga JF-Expert Member Joined Dec 12, 2011 Posts 37,421 Reaction score 18,760 Dec 28, 2014 #40 Werema huyu aliyekuwa ag ambae ni mwivi...???