Mtaalam: Msidanganyike Kisamvu ni kile kile tu duniani kote ila ukiwa Mshamba na hujui Kuutwanga vyema na Mchi utauona ni tofauti

GENTAMYCINE

JF-Expert Member
Joined
Jul 13, 2013
Posts
60,660
Reaction score
121,325
Nina Visamvu Viwili vya kuchukua Mwenge na Ubungo ngoja nivifuate nije nivitwange na Mchi Mmoja niliouandaa ili nione kama hakuna tofauti au Mtaalam ndiyo Kakosea na Katudanganya.
 
Sijaelewa bado, unazungumzia Kisamvu kisamvu au unazungumzia Kisamvu?
Na mchi ni mchi? au mchi?
 
Back
Top Bottom