Mtaalam wa Kijeshi: Harmonize ametuaibisha Makomandoo kwani alitua Kishamba na Kizembe kama gunia la viazi mbatata

[emoji23][emoji23][emoji23][emoji23][emoji23]
 
wkt bdo yupo juu kwny kamba alikua katoa mimacho na kuhema kwa kasi hd huruma. Ila amejitahidi
 
Ha ha haaa nimecheka sana!!duh ww fala kweli!
 
Nafikiri lengo lake limefanikiwa kwa 150%
Issue haikua yeye kutembea juu ya kamba, issue ni namna gani atatrend. Naiona mbinu yake ikifanikiwa kwa asilimia hizo hapo juu
 
Funzo hili aisee tusiige kunya kwa tembo tutapasua mibyundu yetu....
 
Nafikiri lengo lake limefanikiwa kwa 150%
Issue haikua yeye kutembea juu ya kamba, issue ni namna gani atatrend. Naiona mbinu yake ikifanikiwa kwa asilimia hizo hapo juu
Ku trend kwa kutaka kupasua maini!!!?
that's mockery!!
 
Hata hao wanajeshi wanatake risky ili kutulinda. Harmonize amefanya jambo kubwa sana japo alikabiliwa na changamoto kadhaa. Sio rahisi kukatisha kwenye Majukwaa makubwa ya Uwanja wa Benjamin Mkapa kwa kutumia ile kamba, sio rahisi naruria.
Japo alionesha mapungufu ofcoz kwa kuwa yeye sio trained personel wa yale mambo, but anastahili kupongezwa.
 
Hamorapa ni mshamba we hukuona siku ile ya tukio la Nape Nauye kutishiwa bastola jinsi Harmorapa alivyotimua mbio ndefu!!
 
Mkuu Kuna mtu alilegeza kamba ndio maana akadondoka

Sasa Mwanajeshi 'aliyeiva' hata kama 'akilegezewa' Kamba kama usemavyo ndiyo 'anadondoka' Kizembe vile Mkuu? Asirudie tena atakuja Kufariki.
 
Acha 'Kusifia' aina ya 'Upuuzi' alioufanya Harmonize kwani isingekuwa 'Mapenzi' yake Mungu labda au 'Hirizi' alizonazo Siku ile ilikuwa ndiyo nitolee.
 
kwa namna alivodondoka sidhani kama atawahi rudia

Nasikia jana wakati akiwa na Injinia Hersi wanamtambulisha Mchezaji Yacouba aliwaambia Siku nyingine wakitaka arudie wampe Bilioni Moja yake.
 
wkt bdo yupo juu kwny kamba alikua katoa mimacho na kuhema kwa kasi hd huruma. Ila amejitahidi

Amejitahidi wapi wakati alipokuwa kule kule juu angani katoa ile Mimacho yake na Kuhema kama Mbwa wa FFU Ukonga pia alikuwa ameshajinyea?
 
Nafikiri lengo lake limefanikiwa kwa 150%
Issue haikua yeye kutembea juu ya kamba, issue ni namna gani atatrend. Naiona mbinu yake ikifanikiwa kwa asilimia hizo hapo juu

Na ingetokea Harmoniza 'amekufa' ile Juzi bado ungekuja hapa Kwetu na kusema kuwa Lengo lake la 'Kutrendi' limefanikiwa? Acheni Ujuha akome!
 
Wakati Wewe ukimsifia hivi Mwenzako jana akiwa na Injinia Hersi kasema kama wakitaka arudie tena wampe Kwanza Sarah wake Bilioni 1 aishike.
 
Sijui ingekuaje kama angevunjika mgongo kisa sifa za kijinga

Kwa jinsi alivyoanguka vile kama Gunia la Viazi Mbatata sina uhakika kama tangia uzi aliweza hata kupata Haja Kubwa hadi hivi Leo. Awe makini!
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…