Mzee Kigogo
JF-Expert Member
- Jun 3, 2018
- 9,968
- 16,680
Uti wa mgongo ukivunjika ndio Basi tena. Dogo awe makini
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Vijana wanapenda kuiga wasiyoyaweza. Yeye anafikir kupita kwenye rola ni jambo la kitoto."Nilikuwa naliangalia lile tukio zima ila nilipoona tu ghafla Msanii Harmonize anapita juu kwa ile Kamba kama Mtu wa Medani nilichukizwa mno kwani hakuonyesha hata tu 5% ya kwamba Yeye ni Mjeshi na alikosea mambo mengi ya Kimsingi sana huku ile tua yake kama Gunia la Viazi Mbatata limerushwa kutoka katika Lori, kutupa Bendera huku akihema hadi kupatwa na Kizunguzungu liliharibu kila Kitu. Rai yangu tu kwa hawa Wasanii waache Kujiita Majina ambayo hayaendani nao Kiuhalisia na bora ya hata huyu sijui Diamond anavyojiita Simba kwani ni kweli kabisa ukimuangalia mambo mengi ni makubwa na ya Kujiamini kama alivyo Simba halisi"
Haya mnaopingana na huyu Mtaalam wa Kijeshi jitokezeni mtoe Hoja zenu za Maana na wale mnaomuunga mkono karibuni katika Kumpongeza tu.
We jamaa wewe Mungu anakuona🤣🤣🤣Sikujua ni harmonise mpaka pale jamaa alipoanguka puu.
Angekufa usifanye mchezo ..mambo ya JESHI hayaigwi ovyo ovyo tena bila kua na mazoeziMikia jana mmeteseka sana,yaani mtu unashindwa hata kumhudumia mume wako usiku huu unaanzisha uzi?jitahidini kulea ndoa wakinamama,wananchi wasiifanye ndoa iingie doa
Aliyekimbia ile bastola ni HARMORAPA [emoji1] [emoji1]Ile kamba iliwekwa kwa matumizi ya siku hiyo au huwa ipo?
Harmonizi aliyekimbia siku ile @napennawiya anatishiwa ile bastola ndo huyo huyo wa kwenye kamba au baada ya tukio la nape alienda kusomea ukomando.
Hamonize hivi alianzaje au alitumia nguvu za giza jamani semeni ukweli. Wanavyosema wamakonde hata ukimwachia nyumba au shamba akulindie hauji kupajua tena nimeamini juzi.
mi nilivyomuona katupa bendera tu nikajua tayari katepeta alafu yeye alizani kamba itateleza tu then ashuke mara ikamgomea ikabidi aanze kujivuta ha ha ha ha ha mara kachoka alafu hakukuwa na watu wa ku rescue ingefeli nazani angening'inia pale hadi afeAliliaibisha sana JESHI.
Hiki kitakuwa cha Arusha tu lazima!!"Nilikuwa naliangalia lile tukio zima ila nilipoona tu ghafla Msanii Harmonize anapita juu kwa ile Kamba kama Mtu wa Medani nilichukizwa mno kwani hakuonyesha hata tu 5% ya kwamba Yeye ni Mjeshi na alikosea mambo mengi ya Kimsingi sana huku ile tua yake kama Gunia la Viazi Mbatata limerushwa kutoka katika Lori, kutupa Bendera huku akihema hadi kupatwa na Kizunguzungu liliharibu kila Kitu. Rai yangu tu kwa hawa Wasanii waache Kujiita Majina ambayo hayaendani nao Kiuhalisia na bora ya hata huyu sijui Diamond anavyojiita Simba kwani ni kweli kabisa ukimuangalia mambo mengi ni makubwa na ya Kujiamini kama alivyo Simba halisi"
Haya mnaopingana na huyu Mtaalam wa Kijeshi jitokezeni mtoe Hoja zenu za Maana na wale mnaomuunga mkono karibuni katika Kumpongeza tu.
Mkuu Kuna mtu alilegeza kamba ndio maana akadondoka"Nilikuwa naliangalia lile tukio zima ila nilipoona tu ghafla Msanii Harmonize anapita juu kwa ile Kamba kama Mtu wa Medani nilichukizwa mno kwani hakuonyesha hata tu 5% ya kwamba Yeye ni Mjeshi na alikosea mambo mengi ya Kimsingi sana huku ile tua yake kama Gunia la Viazi Mbatata limerushwa kutoka katika Lori, kutupa Bendera huku akihema hadi kupatwa na Kizunguzungu liliharibu kila Kitu. Rai yangu tu kwa hawa Wasanii waache Kujiita Majina ambayo hayaendani nao Kiuhalisia na bora ya hata huyu sijui Diamond anavyojiita Simba kwani ni kweli kabisa ukimuangalia mambo mengi ni makubwa na ya Kujiamini kama alivyo Simba halisi"
Haya mnaopingana na huyu Mtaalam wa Kijeshi jitokezeni mtoe Hoja zenu za Maana na wale mnaomuunga mkono karibuni katika Kumpongeza tu.
Pamoja sana mkuu. Nimekuwa nikipitia shombo za watu wengi mitandaoni wakimbeza Harmonize kwa alichokifanya. Ila nimegundua wengi hawajui uhalisia wa kile alichokifanya "Konde boy".Uanajeshi n ukakamavu,ushawah ona wanashuka na #parachute# skydivers wanashukaje? Sio kila kitu ujikute unachambua kana kwamba unajua. Haaaah kwa tuliopitia mafunzo twajua jamaaa kajitahd na kwa MTU wa kawaida hawezi Fanya .
Alichofanya #HARMONIZE# JESHI# KONDEBOY# kilitakiwa kifanywe na MAKOMANDOOO MBELE YA MH: RAISI KUADHIMISHA MIAKA 59 YA UHURU MWAKA HUU...
#Risk aliyoichukua ndio iliwaogopesha watu,na ndio kilichothibtsha kuwa usaniii ni zaid ya make- up na #ON STAGE BLAAHBLAAH
[emoji23][emoji23][emoji23]alikuwa anajikuta komando kipensi
wangapi wamefika kwenye kazi zao za sanaa? wewe kama ni muoga muache yeye afanyeYaani huyu atafia mbele za watu na sifa za kijinga, na Utopolo hawatalipa hata sent tano kama fidia. Mishahara tu kitendawili plus jezi zimekwama hapo nani liu... ashauriwe kiki nyingine zitamzimisha moja kwa moja.
Walioona lile tukio watakubaliana na ukweli kwamba ule mgongo ulipigizwa km mara tatu hivi na tulimuona msanii huyo akitoa macho kama kapoteza network uwanja ulikuwa kimya dakika kadhaa ukiomba Mungu awaepushie UTOPOLO AIBU ile.
Wakulaumiwa ni uongozi wa huyo dogo walikosa idea? Hata reheasal hawakufanya?
Hivi walimuona Mjeshi gani anashuka kwa kupiga matako yake chini? Si atakufa vitani?
Naungana na wewe.... labda mjeshi mavi[emoji2960]