Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Mkuu natafuta eneo kwajili ya kilimo Turiani, la kununua naomba muongozo wako.Mimi nina eneo zuri huko Turiani na ninapenda sana kuwekeza kwenye kilimo BUT tatizo kuu ni mifugo, wamang'ati na wamasai wamekuwa ni kikwazo kikubwa sana kwa ufugaji wao wa holela. Nishawishi ni kwa namna gani wewe utakabiliana na hii changamoto??