Mtaalam wa Kutengeneza Website

Mtaalam wa Kutengeneza Website

Mhafidhina

JF-Expert Member
Joined
Feb 6, 2008
Posts
549
Reaction score
23
Wanajamii,

Jamani natafuta mtu ambaye ni mtaalam wa kutengenza websites ikiwa ni pamoja na kuhakikisha inafanyiwa domain registration, inaweza kupatikana kwenye google search na pia nitaweza kutegeneza emails kutumia jina la hio website.

Muhimu ni kuweza kutengenza kwa kuweka graphics nzuri na kui-update mara kwa mara website hiyo.

Tafadhali kama una utaalam na uzoefu wa kutengenza website kwa kiwango kizuri naomba UNI-PM then tuwasilaiane ili niweze kukupa kazi hii.
 
Back
Top Bottom