cheetah255
JF-Expert Member
- Oct 19, 2017
- 1,376
- 2,393
Majukumu:
kufanya usafi mara mbili kwa siku,kuwapa chakula,kufwatilia kwa ukaribu magonjwa ya ngozi,kuwazibiti wasitoke nje ya eneo la uzalishaji,kuwatenga kwa makundi kitokana na aina na umri na mahitaji maalum,kusimamia delivery kwa wateja.
Sifa za jumla:
Awe na uzoefu wa kufuga mbwa na kujua tabia za mbwa tajwa.
Awe kijana akiwa wa kiume nivizuri kitokana na mazingira ya kazi.
Awe yupo tayari kufanya kazi Arusha na kufanya delivery popote atakapo tumwa, ni lazima alale site.
Akiwa na uwezo wa kudhungumza lugha mbili kingereza na kiswahili itakuwa vizuri.
Mshahara ni unarizisha na posho pia zipo lila akifanya delivery.
Nafasi zipo mbili kama unasifa njoo pm.