Kuntankite
Member
- Sep 17, 2021
- 10
- 6
Wakuu ninatafuta kazi ya Maabara ,Nina miaka 30yrs ,mwenyeji wa Kahama ila Kwa Sasa napatikana Mbulu...hebu naombeni nafasi ya kazi kupima Maabara...Maana serikali imeipa kisogo sana sekta ya Maabara...Nina uzoefu wa mwingi tu maana nimefanya kazi sehemu tofauti tofauti....Vyeti na leseni za kutoa huduma ninazo....Nina Cheti Cha Certificate NTA level 5...0787 912 542...au Lab assistant