limbende
JF-Expert Member
- May 14, 2013
- 1,038
- 621
Habari wakuu,, naamin bado tuko wazima wa afya ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu.namba niende kwenye mada moja kwa moja.Wakuu nina matatizo yafuatayo 1:hasira za haraka 2: kugomagoma ovyo 3:kukaa peke yangu muda mrefu na mwisho 4: najikuta naongea peke yang na kujijibu,, na 5: ni MTU wa visasi. Wakuu msaada tafazal maana Hali c shwari kabsa na ck zinavozid songa mbele na Hali inazid.msaada tafazal