Mtaalam wa saikolojia msaada please

Mtaalam wa saikolojia msaada please

limbende

JF-Expert Member
Joined
May 14, 2013
Posts
1,038
Reaction score
621
Habari wakuu,, naamin bado tuko wazima wa afya ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu.namba niende kwenye mada moja kwa moja.Wakuu nina matatizo yafuatayo 1:hasira za haraka 2: kugomagoma ovyo 3:kukaa peke yangu muda mrefu na mwisho 4: najikuta naongea peke yang na kujijibu,, na 5: ni MTU wa visasi. Wakuu msaada tafazal maana Hali c shwari kabsa na ck zinavozid songa mbele na Hali inazid.msaada tafazal
 
Tuambie kwanza ulipatwa na jambo gani linalokupelekea kuwa hivyo,km kuna jambo ilikupata litakuwa limeacha kovu na yamkini halikutibiwa ipasavyo,
Anza kujiambia mwenyewe kuwa umesamehe,anza kujiambia unataka utulivu,anza kujiita jina na kujiambia hasira haina nafasi,anza kujiambia kwa ndani unataka kubadilika
 
Mkuu unaposema kugoma goma hovyo una maana ni ile kugoma goma ya watu wa kusini wakimaanisha kugombeza au hii ya kawaida ya kugoma kufanya kitu?
 
Penda michezo kwa kuipractice na kuiangalia, ongeza marafiki wema na wacheshi, soma sana mafundisho ya mungu na mwisho tafta muvi zenye watu weny wasifu kama wako wanajicintrol vip itakusaidia zaid
 
Habari wakuu,, naamin bado tuko wazima wa afya ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu.namba niende kwenye mada moja kwa moja.Wakuu nina matatizo yafuatayo 1:hasira za haraka 2: kugomagoma ovyo 3:kukaa peke yangu muda mrefu na mwisho 4: najikuta naongea peke yang na kujijibu,, na 5: ni MTU wa visasi. Wakuu msaada tafazal maana Hali c shwari kabsa na ck zinavozid songa mbele na Hali inazid.msaada tafazal
Na mi niko hivi hivi baba... ni mwepesi kufanya maamuzi afu nachukia saana wanawake.... ingawaje napenda kuwagonga ila sipende kupet pet
 
Una experience a high form of chronic distress
Mara nyingi inachangiwa na lifestyle unayo ishi, inaweza kua una jaribu kumeet ends ambazo ni unreachable au zina itaji patience on ur side, kutokana na wewe kukosa ii patience, unakua unajaribu kureach ur goals with too much priorities or pressure and irregularalities without good plan, kwa iyo kichwa chako kina kua na mambo mengi kwa mkupuo, ndo maana unaongea mwenyew, because ur mind inakua over utilized,kujibalance ina kuachia unakua verbal, hizi ni baadhi ya Symptoms of chronic stress can vary from anxiety, depression,social isolation, headache, abdominal pain or lack of sleep to back pain and difficulty concentrating. Other symptoms include panic attacks or a panic disorder.Chronic stress can increase an individual's risk for psychiatric disorders and some physical disorders, especially cardiovascular diseases.
 
Tuambie kwanza ulipatwa na jambo gani linalokupelekea kuwa hivyo,km kuna jambo ilikupata litakuwa limeacha kovu na yamkini halikutibiwa ipasavyo,
Anza kujiambia mwenyewe kuwa umesamehe,anza kujiambia unataka utulivu,anza kujiita jina na kujiambia hasira haina nafasi,anza kujiambia kwa ndani unataka kubadilika
Nimetengana na wife to be almost six months til now,,
 
Mkuu unaposema kugoma goma hovyo una maana ni ile kugoma goma ya watu wa kusini wakimaanisha kugombeza au hii ya kawaida ya kugoma kufanya kitu?
Yawakucn means kugombeza.mm menyew chinga unisamehe
 
Penda michezo kea kuipractice na kuiangalia, ongeza marafiki wema na wacheshi, soma sana mafundisho ya mungu na mwisho tafta muvi zenye watu weny wasifu kama wako wanajicintrol vip itakusaidia zaid
Asante kwa ushauri mkuu
 
Na mi niko hivi hivi baba... ni mwepesi kufanya maamuzi afu nachukia saana wanawake.... ingawaje napenda kuwagonga ila sipende kupet pet
Aya bhan kila mmoja ana mizuka yake
 
Una experience a high form of chronic distress
Mara nyingi inachangiwa na lifestyle unayo ishi, inaweza kua una jaribu kumeet ends ambazo ni unreachable au zina itaji patience on ur side, kutokana na wewe kukosa ii patience, unakua unajaribu kureach ur goals with too much priorities or pressure and irregularalities without good plan, kwa iyo kichwa chako kina kua na mambo mengi kwa mkupuo, ndo maana unaongea mwenyew, because ur mind inakua over utilized,kujibalance ina kuachia unakua verbal, hizi ni baadhi ya Symptoms of chronic stress can vary from anxiety, depression,social isolation, headache, abdominal pain or lack of sleep to back pain and difficulty concentrating. Other symptoms include panic attacks or a panic disorder.Chronic stress can increase an individual's risk for psychiatric disorders and some physical disorders, especially cardiovascular diseases.
Mkuu ni kwel nna matatizo na sina msaada na sasa inapelekea hata kula siri na nalala muda mfup sana.cardiovascular ni homa ipi
 
Ni kweli stress simekuwa kubwa tafuta msaada wa kiroho ili nafsi na mwili upate kupona hiyo cardovascular disease ni magonjwa ya moyo sasa kwa sababu upumzi vizuri na una uchungu unazalisha sumu nyingi sana mwilini kupitia chachu za cortisol ambao inaweza kusababisha afya yako iterereke sana. Kwanza anza kwa kujisamehe mwenyewe na kujikubali. then samehe yule aliyekukosea hiyo sio rahisi kama ninavyosema hapa italeta maumivu lakini ndio dawa maana kutomsaheme mtu ni kuamua kunywa sumu nakufikiri kuwa itamuumiza jirani yako na ndio hapo unapohitaji msaada wa kiroho kukushika mkono kuweza kufanya hivyo. Tatu soma 1Wakorintho 13 mara tatu kwa siku na ukiweza zaidi tafakari yaani kutafakari ni ile kama hali ya ng'ombe anapocheua chakula alichokula na kikitafuna tena mfanyo umesoma huo mstari wa nne na watano unasema upendo hvumilia, hfadhili, upendo hauhusud, upend hautakabari, haujivuni, haukosi kuwa na adabu, hautafuti mambo yake, hauoni uchungu, hausesabu mabaya. Sasa unaanza kucheua Hivi mimi kwanini naona uchungu? kwanini na hesabu Mabaya sioni mazuri kweli hivi mimi kuwa hai mpaka leo sio kwaajili ya Upendo wa Mungu mbona kuna nilisoma naona kule kwetu walizombwa na maji mimi niko huu ni upendo wa Mungu kwahiyo anakazi na mimi niache kujichukia nipende Mungu na watu wake. Unayaleta kwenye nafasi yako ukisoma hilo neno na kutafakari lina nguvu ya kukutoa hapo ulipo ila ukisoma kama kasuku ili umalize uende na kazi zako utaona utamu wake. Tafuta kitabu kama Power of Sub Conscious Mind, EMotion Intelligent. Bila kusahau ushauri wa kitaalamu au rafiki atayekuweka kuwa accountable

Mkuu asante sana kwa ushaur wakomzuri nitaufanyia kaz kwa 100% na Mungu akubariki sana
 
Habari wakuu,, naamin bado tuko wazima wa afya ni jambo la kumshukuru Mwenyezi Mungu.namba niende kwenye mada moja kwa moja.Wakuu nina matatizo yafuatayo 1:hasira za haraka 2: kugomagoma ovyo 3:kukaa peke yangu muda mrefu na mwisho 4: najikuta naongea peke yang na kujijibu,, na 5: ni MTU wa visasi. Wakuu msaada tafazal maana Hali c shwari kabsa na ck zinavozid songa mbele na Hali inazid.msaada tafazal
Ukaombewe, Yesu akuokoe maana unaweza kufikia depression then unakuwa suicidal
 
Back
Top Bottom