Mtaalam wa saikolojia msaada please

Mtaalam wa saikolojia msaada please

Una experience a high form of chronic distress
Mara nyingi inachangiwa na lifestyle unayo ishi, inaweza kua una jaribu kumeet ends ambazo ni unreachable au zina itaji patience on ur side, kutokana na wewe kukosa ii patience, unakua unajaribu kureach ur goals with too much priorities or pressure and irregularalities without good plan, kwa iyo kichwa chako kina kua na mambo mengi kwa mkupuo, ndo maana unaongea mwenyew, because ur mind inakua over utilized,kujibalance ina kuachia unakua verbal, hizi ni baadhi ya Symptoms of chronic stress can vary from anxiety, depression,social isolation, headache, abdominal pain or lack of sleep to back pain and difficulty concentrating. Other symptoms include panic attacks or a panic disorder.Chronic stress can increase an individual's risk for psychiatric disorders and some physical disorders, especially cardiovascular diseases.

Kama umeshafikia kwenye psychiatric disorders dawa ni nini hapo mkuu?
 
Pole sana wewe utakuwa na kovu kubwa sana la kuumizwa na moyo kama si wife basi mpenzi.......ila hii itakupelekea kufanya mambo mabaya hadi kukosa hata kula.

Mimi yalishanikutaga nilioa solution ni kujiua ayo yote uliyopitia ni kama mimi hakuna tofauti usiku nilikua silali na mchana sisinzii na pia nakaa pekeyangu kimyaaaa na sili ata ulete wali kuku sioni radha naona kama nakula mate acha tu yaaani Najua unavyoumia ila yataisha taratibu sana nilikonda sana mimi ilinichukua miaka 7 kusahau
Miaka Saba ama siku saba
 
You're a solution of your own problems,just evaluate your self and take further steps, change begins with you.
 
Brother pole sana, msaada wangu hutaujutia endapo utaufuata. Fanya hivi; nenda you-tube mtafute mwanasaikolojia nguli Tanzania kwa sasa anaitwa Dr. Elie V.d waminian. Huwa yupo kila Juma pili katika kipindi cha chomoza clouds TV jaribu kudownload mafundisho yake toka aanze somo la kwanza na sasa amefika somo la kumi tano fuatilia A_Z. Believe me utakuwa poa hadi ujishangae
ana degree 6!!!!!
 
Back
Top Bottom