Mtaalam wa Saikolojia: Wapiga 'Kura' wengi hupenda Kuwapigia Kura wale wa Kwanza Kwanza 'Pichani' na wale wa Mwisho Mwisho 'huwaboa' katika Kuwapigia

Tundulissu is real opposition leader who deserve to rule our country , I seen since Tundulissu returned gave him sleepless Ccm Aspirant John Mgufuli. And now he depending on uses of state apparatus to remain on power
 
Come rain or shine
Lissu is our 06th president.let Muhutu vacate our country
Police and army only serves the current regime not the masses
 
Mwambie arudi shule upya.
Miaka yote cdm huwa kuanzia namba 5 kushuka chini lkn hushika namba 2

Sent from my SM-A505F using JamiiForums mobile app
 
Mkuu kwa hamasa ilivyokuwa hivi sasa miongoni mwa wananchi, hata watu wenye matatizo ya macho itakuwa ni rahisi sana kuiona nembo ya CDM[emoji3577]na picha za wagombea wao. Pengine uniambie zoezi la kupiga kura litachukua muda kwa watu kutotaka kufanya makosa na hatimaye kura zao zije kuharibika.

Mgombea wa CCM pengine picha yake ingewekwa sambamba ikiwa pamoja na ya Diamond, Ali Kiba ama Konde Boy pengine kwa kiasi kidogo mno hiyo saikolojia uliyoigusia ingaliweza kufanya kazi.
 
Huwa naelewa sana hoja zako mkuu, ila wewe utakua mtu wa "kitengo ".
 
Hebu ficha ujinga wako
 
Siku ya kufa miti yote huteleza. CCM miti yote inateleza. Nia yao mbaya iko wazi.
 
Labda mtaalam wako amefanyia utaalamu bara. Ila Zanzibar hata kama maalim seif ukimueka ukurasa wa 200 halafu akawa jina la mwisho tena kwa font size 4pts wapiga kura wa Zanzibar watatafuta jina lake na picha na wala hawataboeka.
 
Ni mbinu za kizamani sana maccm yanatumia,
Wanafikili watanzania wa leo ndiyo kama wazamani,wapiga kura hawaendi kituoni kuangalia namba,waneenda kuangalia sura ya mgombea ndiyo wanaweka vema,
Tume wakitaka kufanikiwa labda waondoe sura za wagombea wawe namba peke yake.
 
Kwa mujibu wa Twaweza ccm inakubalika na watu wajinga na wasiokuwa na elimu.

Lakini licha ya wanaccm hawa kutokuwa na elimu lakini walipiga spana kisawasawa tena unakuta kuna jimbo lilikuwa na wagombea 70 lakini wajumbe kwao haikuwa kikwazo, ukitaka kuamini hili muulize Paskali Mayalla atakupa ushuhuda kwamba karatasi la kura hata majina yakae vipi spana ziko palepale.

Tena uzuri wa karatasi za kura kuna bendera za vyama, spana hazikwepeki.
 
Mwana saikolojia fake, mwaka 2015 kwenye list Anna Mugwila alikuwa wa 1 lkn alishindwa vibaya sana.

 
Mimi Wala hujanikera kwa maana umeongea ukweli mtupu.
 
Yaani kama kuna mtu kawadanganya CCM kwamba hii nayo ni mbinu ya kuapata kura amewaingiza choo cha Kushoto. Mtanzania gani kwa sasa hajui ile sura iliyobadikwa mjini kila baada ya hatua 3? Au wakati wanabandika hawakujua madhara yake?
 
Tena hawa wapiga kura wa Tl walivyo na mbwembwe wanaweza wakatoboa picha ya mgombea mwingine kwanza ndio wakapiga kura.
 
Uchaguzi kudorora ndio ilikuwa inatazamiwa na wengi. Baada ya kushuhudia wizi wa mchana kweupe kwenye chaguzi za marudio, na ule wa serikali za mitaa, wengi waliona heri kuendelea kupambana na maisha magumu ya awamu ya 5 badala ya kujisumbua kupiga kura.

Ndio maana hata mazoezi ya kuandikisha wapiga kura na uhakiki, yalidorora saaana. Ilibidi kuhamasisha watu, na haikusaidia.

Lakini ujio wa Tundu Lissu umebadili kabisa upepo. Naamini turnout itakuwa kubwa sana. Na hata kama jina la Tundu Lissu lingekuwa mwisho, wengi wangelitafuta. Hiyo theory inakubalika kwa chaguzi ambazo zimedoda
 

Mmeshaingia choo kingine cha kike.....
 
Hao watakuwa wapiga kura wa marekani
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…