Hizi ni tabia za watu wasiokuwa na aibu kabisaAlishindwa nini na hao wabrazili wake.
Mna vituko na huyo mzee wako. Yale yale wakati wa uzinduzi wa Ikulu Dodoma. Alikuwa Rais kwa miaka kumi, nini kilimzuia.
Huoni kama ni ujinga kumsifia mtu aliyekuwa na nafasi akashindwa kufanya. Sasa amekuja mtu kafanya tena ndani ya miaka mitano halafu ndo mnajotutumua. Eti Kikwete.
Hujibiwi, ila we endelea tu kusubiriJibu hoja au piga kimya
Wewe huna ujuwalo, soma ulichokikuta kwa wakati wako, ukitaka kkkuelewa ya zamani, uliza kwa heshima na adabu tukumwagie ushahidi, au pitia huu uzi vizuri.Kikwete yupi unayemzumgumizia .huyu hata sisimizi wwnajua alikuwa alikuwa dhifu hasa
Acha uonge hamna sehem yotote kikwete alitaja stigla, yey si alikaa madarakan kww mika 10 .alishindwa nini kufanya hivyoMoja halina tatizo, lipo vizuri/ Tatizo ni kubwa sana kwa maji kujaa haraka.
Kulifanya liwe na tija inabidi zitumike pesa nyingi nyingine kujenga bwawa dogo mbele yake, halafu huku maji yafunguliwe, lile dogo liwe linafuwa umeme.
Mwenyezi Mungu akijaalia maji yakijaa, yatafuwa yote mawili. Yakipunguwa, moja litakuwa linafuwa tu. Tunaweza kwenda kwa hesabu hizo yakawa manne matano. No problem.
Brazil ilikuwa tayari kabisa wafanye hivyo, yule mwehu akawaona waliomtangulia wajinga, akapiga chini dili la Brazila akaleya lake la bwawa moja. Pambaf yule.
Euphrates lina mabwawa ya kufulia umeme 19.
Acha uonge hamna sehem yotote kikwete alitaja stigla, yey si alikaa madarakan kww mika 10 .alishindwa nini kufanya hivyoMoja halina tatizo, lipo vizuri/ Tatizo ni kubwa sana kwa maji kujaa haraka.
Kulifanya liwe na tija inabidi zitumike pesa nyingi nyingine kujenga bwawa dogo mbele yake, halafu huku maji yafunguliwe, lile dogo liwe linafuwa umeme.
Mwenyezi Mungu akijaalia maji yakijaa, yatafuwa yote mawili. Yakipunguwa, moja litakuwa linafuwa tu. Tunaweza kwenda kwa hesabu hizo yakawa manne matano. No problem.
Brazil ilikuwa tayari kabisa wafanye hivyo, yule mwehu akawaona waliomtangulia wajinga, akapiga chini dili la Brazila akaleya lake la bwawa moja. Pambaf yule.
Euphrates lina mabwawa ya kufulia umeme 19.
Nenda juu post #158 utakuta links za hapa hapaa JF.Acha uonge hamna sehem yotote kikwete alitaja stigla, yey si alikaa madarakan kww mika 10 .alishindwa nini kufanya hivyo
Ulikuwa wapi wakati wa madaraka ya Kikwete? Na ulikuwa na miaka mingapi?Acha uonge hamna sehem yotote kikwete alitaja stigla, yey si alikaa madarakan kww mika 10 .alishindwa nini kufanya hivyo
wewe khb vipi mmemaliza la DP World kibibi kifupi kinene zero brainUkweli usemwe.
Mwendzake ndiyo aliyeliunda hili bomu. Bwawa likuwa tayari lianzwe, yeye ilikuwa asimamie tu, akenda kufuta mkataba wa Brazil wa mabwawa manne badala ya moja. Fala yule, tulijadili sana humu JF, wakati wa JF haswa siyo sasa imejaa vinuka mikojo:
Tanzania, Brazil plan US2billion hydropower plant
DAR ES SALAAM, Tanzania 12/6/10 (PennWell) --
Tanzania is planning with Brazil to construct a US$2 billion hydropower plant in Tanzania, wire services reported.
Officials from Tanzania held talks with their Brazilian counterparts in Sao Paolo earlier in 2010 on the construction of the proposed 2,100-MW Stiegler's Gorge hydropower station, Reuters reported.
The plant would be a source of cheap, abundant energy at a cost of around 2 U.S cents per kilowatt hour. It would help control flooding in the Rufiji area and create a reservoir with a total capacity of 34 billion cubic meters to supply the commercial capital Dar es Salaam and other regions, wire reports indicate.
The government is considering funding options for the project, including concessional loans, private investment or state financing, reports indicate.
Brazil will provide the technology to build the plant, Reuters reported.
The project's current timetable calls for the feasibility study to be updated next year and for the first of three 700-MW turbines to be installed in 2012, media reports indicate. Full project completion is projected for 2015.
Recently, the government of Tanzania signed a deal with Russia-based Borodino for the construction of the $700 million Rumakali hydropower plant in Tanzania's Iringa region.
Construction of the 222-MW hydropower station will begin by 2013, and the plant is expected to come online by 2018, according to reports.
SOURCE: HydroWorld.com
Stieglers Gorge Hydroelectric Project
Kikwete mbona kishaitangaza hiyo project kuwa ataianza hivi karibuni. Hizi habari zingine ni pumba tu. Au hamkusikiliza hotuba yake ya ufunguzi wa Bunge la kumi?www.jamiiforums.com
wewe ni failure kabisaUlikuwa wapi wakati wa madaraka ya Kikwete? Na ulikuwa na miaka mingapi?
miaka yote ya kikwete hatukuwa na Rais tulikuw na Vasco Dagama tu kwa Sasa tuna chief Mangungo of pembaUlikuwa wapi wakati wa madaraka ya Kikwete? Na ulikuwa na miaka mingapi?
kikwete yupi?Ulikuwa wapi wakati wa madaraka ya Kikwete? Na ulikuwa na miaka mingapi?
Peleka uongo wako huko. Kazi yenu kuzusha sintofahamu ili kupewa dili za kitapeli. Eti mtaalam, mtaalam hana jina? Bwawa ndio linahifadhi maji ya kuzalisha umeme sasa unataka kusema kina cha bwawa ni kidogo? Tayari bwawa limejaza maji mengi karibu yataweza kuanza kuzalisha umeme." Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.
Tujadili.
Sasa uone haya na soni juu." Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.
Tujadili.
Mi mwenyewe nina wasi wasi sana na hili liprojekti inawezekana likawa feki!Ukishamjua kisha utoe Amri nae yamkute ya Tundu Lissu au?
Kikwete ni bahasha wako shuwain wahead wew ,unamhaba ya kishamba sanaWewe huna ujuwalo, soma ulichokikuta kwa wakati wako, ukitaka kkkuelewa ya zamani, uliza kwa heshima na adabu tukumwagie ushahidi, au pitia huu uzi vizuri.
ujinga wa kuongea kijinga peleka kwa mapoyoyo wenzako.
Post niliianzisha June 2019 mbona hukuja Kuijibu / Kunijibu mwaka huo huo ili nikuone Wewe Mwanaume kweli na umekuja Kuijibu Kishoga leo hii mwaka 2023?Peleka uongo wako huko. Kazi yenu kuzusha sintofahamu ili kupewa dili za kitapeli. Eti mtaalam, mtaalam hana jina? Bwawa ndio linahifadhi maji ya kuzalisha umeme sasa unataka kusema kina cha bwawa ni kidogo? Tayari bwawa limejaza maji mengi karibu yataweza kuanza kuzalisha umeme.
Wee bwana potea zako huko💃🤸
VibweterePost niliianzisha June 2019 mbona hukuja Kuijibu / Kunijibu mwaka huo huo ili nikuone Wewe Mwanaume kweli na umekuja Kuijibu Kishoga leo hii mwaka 2023?
Pumbavu.