Mtaalam: Watanzania mnadanganywa Stiglers Gorge haiwezekani kwani Kina cha Maji Mto Rufiji kinapungua mno

Makabila tofauti, yana uwezo tofauti, hivyo usiwe na wasiwazi, hadi mvua inaweza kuamrishwa, kunyesha, kujaza bwawa.
P
 
Tatizo ni mtu anaelazimisha kuacha legacy hata zisizofaa na ambazo zitadumu kwa muda mfupi tu.
Ndio maana Wachina wana ile adhabu kwa watu (viongozi) wanaofanya maamuzi yasiyo faida kwa nchi Bali hasara na wakakakamaa tuu
 
🙏🏾
 
Upuuzi tu!
Ninyi ni wataalamu wa nini? Jieleze kiasi cha kutosha. Maji yanapungua muno. Nini maana ya 'muno!' Mtaalamu anaweza kusema muno badala ya kuleta takwimu?

Miaka hii propaganda itakwama tu. Unaijua sayansi ya maji duniani inasemaje?
 
Huu mradi ametolea ushauri kama mtaalamu sawa, atwambie umeme wa gas alishaulije kipindi kile unashupaliwa na sospeter mhongo kuwa ni mwarobaini wa umeme nchini mpaka Leo haieleweki
Hivi huyu bana kapotelea wapi?
 
U
Kila kitu mna copy na kupaste ili mkidhi matakwa yenu. Hivi mnadhani hili bwawa la kwanza Tanzania? Lile la Tanga je?
Pata uhakika, hilo la Tanga lina pata maji ya kutosha kuzalisha umeme?
 
UPata uhakika, hilo la Tanga lina pata maji ya kutosha kuzalisha umeme?

Unadhani watu wanalijaza kwa ndoo ya maji?
Reservoir[edit]
Nyumba ya Mungu is a man made lake in the Kilimanjaro region. The reservoir is situated in the Pangani River Valley of the Masai Steppe, about 50 km south of Moshi. It is fed by two major inflows, the rivers Kikuletwa and Ruvu which drain some 7,500 square kilometres (2,900 sq mi) of catchment consisting of wooded grassland, forest, true desert, and alpine desert.[3]

Maana wabongo mkiandikiwa kiingereza ndiyo mtaamini zaidi.
Jingine ni Kihansi

Kihansi Dam, also Kihansi Hydroelectric Power Station, is a hydroelectric dam located on the Kihansi River at the southern end of the Kihansi Gorge before the convergence with the Ulanga River in Tanzania, approximately 500 kilometres (311 mi), by road, southwest of Dar Es Salaam.[2]

Kidatu Dam The power station is located across the Great Ruaha River, in the village of Kilosa, in Morogoro Region, approximately 337 kilometres (209 mi), by road, southwest of Dar es Salaam, the commercial capital and largest city of Tanzania.[2] This is about 5.5 kilometres (3 mi), by road, northeast of Kidatu, the nearest urban center.[3] The coordinates of Kidatu Power Station are:7°39'47.0"S, 36°58'39.0"E (Latitude:-7.663056; Longitude:36.977500).[4]

Mtera Dam is a large hydroelectric dam in Tanzania. It measures 660 square kilometres (250 sq mi) at full capacity. The lake is 56 kilometres (35 mi) long, and 15 kilometres (9.3 mi) wide, and is feed by the Great Ruaha River and the Kisigo River. It was built from 1975 to 1979 for the purpose of regulating water level at the downstream at the Ruaha installed Kidatu Hydro-electric Dam. It has a capacity of 80 megawatts (110,000 hp).
 
Mkuu asante, sio wote tunaojua hiyo lugha ya mabeberu, ila nimetafasiriwa hapa na mkalimani kutoka Zimbabwe na nimeelewa kuwa bwawa la nyumba ya Mungu liko Tanga na lina maji ya kutosha.
 
Basi na wewe unaona umetoa bonge la point!

Cha ajabu unapinga huu mradi kisha unakomalia ujenzi wa bandari ya bagamoyo bila kujali masharti yake
 
Na akifyeks na hiyo miti milioni ishirini ndio kina kitakwisha kabisamagufuli sikio la kufa he is doomed to fail hela hana wachimbaji wa kubumba basi tu
 
Kiukweli mm kama wa hali ya chini, na mzalendo (sio ile kua umaskini ni uzalendo)..naona huu mradi ni hasara kwa taifa.
1. Tutaharibu mazingira na kupoteza viumbe hai
2. Watu watapiga pesa na mradi kuchelewa
3. Mradi (mkataba) hauko wazi kwa hiyo kuna walakini na haijulikan utaisha lini
4. Vyanzo vya umeme vipo lkn twaenda kuzika matrilion ya shilling ambayo huenda yasizae matunda.

Kwa ufupi tujiandae na hasara. Na hizi shangwe zije kuwepo kipindi hicho tunapata hasara.
 
Haya twende sasa
 
Huyo mtalaamu ni beberu au Ndugu na marafiki zake nui mabeberu
 

Huyu mtaalani ni wa kiwanda cha upumbavu..
Nawewe mleta hoja ni pumbavu..jikague
 
Huu mradi ametolea ushauri kama mtaalamu sawa, atwambie umeme wa gas alishaulije kipindi kile unashupaliwa na sospeter mhongo kuwa ni mwarobaini wa umeme nchini mpaka Leo haieleweki
Tatizo la umeme wa gesi ni jinsi gesi inavyotumika kuzalisha umeme... unaweza ukatumia
1. Gas turbines (kama umeme wa maji ufanyavyo) AU
2. Kama itumikavyo petroli kutembeza mashine (e.g gari)

Kwa gas turbine, ni kama tufanyavyo kwenye maji and then the same maji yanatumika kwingine baada ya kuzalisha umeme... Kwenye gesi nako, ingekuwa inatumika kwanza kuzalisha umeme halafu gesi hiyo, baada ya kuzalisha umeme, ingeenda kutumika kwingine, yaani kwa wale wote wanaotumia gesi sasa. KWA NJIA HII UMEME UNGEKUWA RAHISI

KWA BAHATI MBAYA, SIASA IMETAWALA, GESI INACHOMWA KAMA PETROLI KOTE TUNAKOTUMIA GESI KUZALISHA UMEME... matokeo yake gesi inazalisha umeme kwa kuchomwa na hivyo huwa mwisho wake.. HII NJIA NI GHARI NA NDO TULIYONAYO... Tatizo kubwa WABONGO TUNA TABIA YA KUAMINI SANA WAKISEMACHO VIONGOZI WETU...... na akitokea mtaalamu mmoja akasema ukweli, ATAANDAMWA KILA KONA

Gas turbine kama ingejengwa pale Madimba ilipo gas plant ya sasa na kuzalisha umeme ambao ungepitia Masasi Tunduru Songea hadi njombe kwenye grid ya taifa, kungekuwa na tija sana... NA HAPO HAPO MADIMBA WANGEJENGA LPG PLANT (mtambo wa gesi ya kupikia|) inayotumia gesi iliyokwisha zalisha umeme tungerahisisha sana bei ya gesi ya kupikia
na hapo hapo bomba lingesafirisha gesi kuwapelekea akina TBL DAR etc hiyo hiyo gesi iliyozalisha umeme tungekuwa mbali...
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…