Mtaalam: Watanzania mnadanganywa Stiglers Gorge haiwezekani kwani Kina cha Maji Mto Rufiji kinapungua mno

Mnapowekwa kwenye mgao kisa Mtera maji yana kina kidogo, au kuna tope huwa mnaelewa nini?...... Msishambulie tu kwa kudhani mpo sahihi.....
Wengi mmewashambulia sana lakini mwishooooniii mkaja kuamini walichokuwa wanakisema.......
 
Ni kizungumkuti watu wachajipigia mahera wamesepa kama lowasa sasa wamekuja na mradi mwingine ili waendelee kutengeneza njia ya kupiga hera za wachovu
Huu mradi ametolea ushauri kama mtaalamu sawa, atwambie umeme wa gas alishaulije kipindi kile unashupaliwa na sospeter mhongo kuwa ni mwarobaini wa umeme nchini mpaka Leo haieleweki
 
Nani wa kumpelekea anayeshaurika? Wa chini yake wote wakipelekea kilicho tofauti na atakacho MKUU, wanawatimua waletaji kabla hajijafika juu....
 
Hakuna kitu kinachohuzunisha katika nchi yetu kama ukuaji mbaya wa siasa hasa katika eneo la uadilifu na uwajibikaji .

Siasa za kanyaboya ndio zinaonekana siasa safi na hii ni tatizo la afrika nzima si vyama tawala tu bali hata vyama pinzani kumekuwa na mambo ya kufunikiana mapungufu na kuingilia utaalamu kwa mfumo kama wa “BOGUS PIPELINE APPROACH “

Matokeo yake wasomi (wanataaluma) huwekwa nyuma na kila jambo kufanywa kimazoea angalia kwenye kodi,vikokotozi vya wastaafu,ongezeko la mshahara,makato ya PAYE nakadhalika.

Hili swala la Stiglers Si jambo baya na kiukweli kabisa ni mapinduzi yenye nia madhubuti na ya dhati kutatua kero na uhaba wa nishati katika nchi yetu lakini ningependa kutahadharisha juu ya ushirikishwaji wa wataalamu ili mradi huu uwe na tija kwa taifa letu.

Kuna siku nilipita pale viwanja vya kijitonyama maarufu kwa jina la SAYANSI nikaangalia zile ofisi za tume yetu picha ikanijia ya vijana waliosoma sayansi za IT wanavyolalamika swala la ukosefu wa ajira na changamoto zake nikajiuliza tume hii inadeni kubwa kwa wanasayansi wa TANZANIA inadeni kubwa kwa watanzania haijafanya sehemu yake.

Miradi hii ya maendeleo isiposhirikisha wataalamu wazawa wenye uzalendo tutarudi kulekule kwa DART na mafuriko ya jangwani
 
Huu mradi ulibuniwa kabla ya Magufuli
 
Mwambie huyo mtaalam ampelekee taarifa kamanda msaliti ili akatushitaki ubeberuni apate pesa ya kujikimu. Tumechoshwa na ubabaishaji wenu na porojo za kila siku.
 
Hapana, hatuachi kufanya vitu kwa kusikiliza, acha tufanye hivyo hivyo, tukiharibu au kupoteza pesa tutakuja na uongo wa kujisafisha, tutatumbua tumbua ki uongo na kweli yatapita kama yanavyopita mengine...



Cc: mahondaw
 
An Eagle,
Huyu mtaalamu ndiyo mzalendo wa kweli maana ametoa angalizo ambalo walio karibu na wenye mamlaka ya maamuzi hawawezi kusema kweli daima.
 
Hata kina cha bahari pia kinapungua,ziwa victoria linapungua
Tutajenga tu hata maji yakiisha yote,tutafanya kutuo cha utalii
Pinga pinga mnahaha sana
 
Namwamini sana mzee Mwalyosi lakini kuna watu wanasema anatumika na mabeberu!
 
Huyu nae utakuta anaomba hata mvua zisinyeshe miaka kumi mfululizo hamnazo kabisa
 
Mtaangaika sana Awamu hii. Ila kila kitu lazima kifanikiwe. Iwe jua iwe mvua lazima kila kitu kifanikiwa hakuna litakalo shindikana.

Mbona (kwa uchache) ya sukari na korosho yameshindikana tayari? Mbona kujenga SGR kwa pesa za ndani kumeshindikana?
 
Mnachosahau waandikaji kama nyie ni kuwa Viongozi hawahavgaikiii umeme kwa ajili yao wenyewe. Sina la ziada mana
 
Basi na wewe unaona umetoa bonge la point!

Cha ajabu unapinga huu mradi kisha unakomalia ujenzi wa bandari ya bagamoyo bila kujali masharti yake
Atakuwa spika huyo!!!
 
Mwambie huyo mtaalam ampelekee taarifa kamanda msaliti ili akatushitaki ubeberuni apate pesa ya kujikimu. Tumechoshwa na ubabaishaji wenu na porojo za kila siku.
Gas ya mtwara vp imeisha ardhini ????
 
Du huyu nae ni Mtanzania!?
Kuna watanzania wanajiipandisha hadhi ya kuongelea mambo ya level ya nchi wakiwa wamechuchumaa nyuma ya key board japo hata ya level ya familia hawayawezi
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…