Mtaalam: Watanzania mnadanganywa Stiglers Gorge haiwezekani kwani Kina cha Maji Mto Rufiji kinapungua mno

" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.

Tujadili.
Siku hizi hoja kama hii unaonekana msaliti, huna uzalendo tena mhaini kabisa.

Aliwazalo yeye ndiyo hilo hilo maana ni master of trades.

Wewe ni nani hadi utoe ushauri? Labda uwe umetoka jalalani kwenye kijiji chenye vumbi.
 
" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.

Tujadili.

Badala ya wewe kumsemea, mwambie ajitokeze tumuulize maswali mwambata
 
Sidhani hata kama tunahitaji utafiti wa kitaalamu kwa kila jambo.

Mito yote iliyopo ime/inapungua, kwa waliopo Arusha waseme kuhusu Mito yote mikubwa tuliyoiona miaka ya 80 leo ni mifereji inayofufuka kipindi cha mvua na kufa mvua ikiisha...wapi Mto Themi, Naura n.k..sasa hiyo Rufiji ina upekee upi, hivi tunahitaji utafiti gani tena?

Kama ni lazima kuwa na huu mradi basi kwanza tuifufue hii mito irudi kama zamani....kama tuna huo uwezo.
 
Hydropower plant inaweza isihitaji kina cha maji bali inahitaji high flow, zipo storage dams ambao zitahodhi maji kwa muda fulani kabla yakuyaachia kwenye either natural fall au man made fall.. This is the project na sio maji tu yanajiendea kuendesha water turbines, maji mengine yakishatumika unaweza kuyareciycle yakatumika tena na tena kupitia hizo storage dams.. What we need its only constant water flow through out the year although there will be up and down which will be accounted within the design tolerances..

Kama hasara tushapata sana huko nyuma tena hela nyingine ziliibiwa zikaishia kwa malaya na kustarehesha nafsi za wachache, hebu mtuache kwanza tupambane na hili mpaka mwisho tukishindwa basi tutakuwa tumejifunza na Watanzania wataona tulipojifunzia.. Acheni Stiggler ijengwe bwana its do or die..
Haikufanywa hivyo Kidatu na Mtera?
 
Mie nawashangaa sana hawa wastaafu tangu awatukane wanawashwa washwa wamekuwa watu wa kusifia tu au kupiga kimya.

Shida ni nani wa kumdhibiti maana watanzania tuliowengi tumejivua wajibu wetu wa msingi,tumebaki tukiwategemea wengine watufanyie
 
Haikufanywa hivyo Kidatu na Mtera?

Tatizo la Kidatu na Mtera ni utaalamu wa watalaamu wetu lakini shida haiko kwenye upande wa flow na water depth.
Utaalamu ukiwa mdogo mhusika mwenyewe anaweza kutengeneza matatizo yanayoweza kupelekea uwepo wa low water flow and depth au hata low turbine speed and low output.
 
Haya ya stiglers baada ya magu kuondoka madarakani yataja zuka ya bandari ya bagamoyo, kila rais huwa anavutia yake akiondoka ajae anaweka wazi mabaya ya mradi husika.
 
" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.

Tujadili.
.Angalieni hiyo mada.Huyo mtaalamu hajamtaja mumedakia tu wengine kuongelea ujinga .Huyo mtaalamu Hana jina Wala CV.Mleta mada ni mmoja wa watu wenye akili ndogo mno humu jamii forums
 
Kiongozi Mimi ni Mgeni kabisa hapa Jukwaani sasa umejuaje leo hii kuwa nina Akili ndogo? au hii ni Lugha yako ya Kunikaribisha hapa?
 
Umeme wa Maji hauaminiki ",bora tungewekeza kwenye upepo na jua.
Tuna makaa ya mawe, gesi na urani! Kwanini tunang'ang'ania hydropower?
Hata hao watengeneza umeme waliopewa leo pesa na utambuzi hawatasaidia chochote kwani wako wengi kuliko hao wanaotambulika. Hatuwabezi bali tunahitaji tija si siasa za kuvukia matukio.
Nikionacho: kuna dalili kubwa za anguko katika mradi wa Stiegler's Gorge na Bwana Mkubwa anaihisi harufu hiyo hivyo anajaribu kuziba shimo kabla halijaonekana
 
Hydropower plant inaweza isihitaji kina cha maji bali inahitaji high flow, zipo storage dams ambao zitahodhi maji kwa muda fulani kabla yakuyaachia kwenye either natural fall au man made fall.. This is the project na sio maji tu yanajiendea kuendesha water turbines, maji mengine yakishatumika unaweza kuyareciycle yakatumika tena na tena kupitia hizo storage dams.. What we need its only constant water flow through out the year although there will be up and down which will be accounted within the design tolerances..

Kama hasara tushapata sana huko nyuma tena hela nyingine ziliibiwa zikaishia kwa malaya na kustarehesha nafsi za wachache, hebu mtuache kwanza tupambane na hili mpaka mwisho tukishindwa basi tutakuwa tumejifunza na Watanzania wataona tulipojifunzia.. Acheni Stiggler ijengwe bwana its do or die..
cost ya kurecycle ni kubwa kuliko ya kutengeneza huo umeme.

Ova akili ya Chang'aa nimetumia
 
Nami naona utakuwa na manufaa kama ule wa Bomba la Gas na kivuko cha EMVI DAR ES SALAAM
Huu mradi unapigwa vita sana, Utakuwa na manufaa, tuendelee nao.
 
" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.

Tujadili.
Sawa mtaam tumekusikia tuambie basi tutapataje umeme.
 
Back
Top Bottom