Liwagu
JF-Expert Member
- Jan 25, 2017
- 5,593
- 6,754
HahaaSijawahi kuweka uzi JF. Inaelekea umenifananisha na profesa wa Jalalani
Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
HahaaSijawahi kuweka uzi JF. Inaelekea umenifananisha na profesa wa Jalalani
Siku hizi hoja kama hii unaonekana msaliti, huna uzalendo tena mhaini kabisa." Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.
Tujadili.
" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.
Tujadili.
Haikufanywa hivyo Kidatu na Mtera?Hydropower plant inaweza isihitaji kina cha maji bali inahitaji high flow, zipo storage dams ambao zitahodhi maji kwa muda fulani kabla yakuyaachia kwenye either natural fall au man made fall.. This is the project na sio maji tu yanajiendea kuendesha water turbines, maji mengine yakishatumika unaweza kuyareciycle yakatumika tena na tena kupitia hizo storage dams.. What we need its only constant water flow through out the year although there will be up and down which will be accounted within the design tolerances..
Kama hasara tushapata sana huko nyuma tena hela nyingine ziliibiwa zikaishia kwa malaya na kustarehesha nafsi za wachache, hebu mtuache kwanza tupambane na hili mpaka mwisho tukishindwa basi tutakuwa tumejifunza na Watanzania wataona tulipojifunzia.. Acheni Stiggler ijengwe bwana its do or die..
Shida ni nani wa kumdhibiti maana watanzania tuliowengi tumejivua wajibu wetu wa msingi,tumebaki tukiwategemea wengine watufanyie
Haikufanywa hivyo Kidatu na Mtera?
.Angalieni hiyo mada.Huyo mtaalamu hajamtaja mumedakia tu wengine kuongelea ujinga .Huyo mtaalamu Hana jina Wala CV.Mleta mada ni mmoja wa watu wenye akili ndogo mno humu jamii forums" Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.
Tujadili.
.Angalieni hiyo mada.Huyo mtaalamu hajamtaja mumedakia tu wengine kuongelea ujinga .Huyo mtaalamu Hana jina Wala CV.Mleta mada ni mmoja wa watu wenye akili ndogo mno humu jamii forums
ID mpya ile ingine umeipotezea Sio poaKiongozi Mimi ni Mgeni kabisa hapa Jukwaani sasa umejuaje leo hii kuwa nina Akili ndogo? au hii ni Lugha yako ya Kunikaribisha hapa?
ID mpya ile ingine umeipotezea Sio poa
Ume improve kidogo walau kuliko ID yako uliyoi dropKumbe Mimi Mgeni hapa nina ID nyingine tena ambayo pengine hata siijui? Nilikuwa silijui hili Masikini ya Mungu!
Ume improve kidogo walau kuliko ID yako uliyoi drop
Tuna makaa ya mawe, gesi na urani! Kwanini tunang'ang'ania hydropower?Umeme wa Maji hauaminiki ",bora tungewekeza kwenye upepo na jua.
Mkuu akijadili mada unitag please.Tafadhali jadili Mada iliyopo na acha Kumjadili An Eagle Mgeni kabisa ambaye hana hata Miezi Sita hapa Jukwaani.
cost ya kurecycle ni kubwa kuliko ya kutengeneza huo umeme.Hydropower plant inaweza isihitaji kina cha maji bali inahitaji high flow, zipo storage dams ambao zitahodhi maji kwa muda fulani kabla yakuyaachia kwenye either natural fall au man made fall.. This is the project na sio maji tu yanajiendea kuendesha water turbines, maji mengine yakishatumika unaweza kuyareciycle yakatumika tena na tena kupitia hizo storage dams.. What we need its only constant water flow through out the year although there will be up and down which will be accounted within the design tolerances..
Kama hasara tushapata sana huko nyuma tena hela nyingine ziliibiwa zikaishia kwa malaya na kustarehesha nafsi za wachache, hebu mtuache kwanza tupambane na hili mpaka mwisho tukishindwa basi tutakuwa tumejifunza na Watanzania wataona tulipojifunzia.. Acheni Stiggler ijengwe bwana its do or die..
Huu mradi unapigwa vita sana, Utakuwa na manufaa, tuendelee nao.
Sawa mtaam tumekusikia tuambie basi tutapataje umeme." Nasikitika sana Mamlaka husika za Tanzania kwa kuendelea Kung'ang'ania huu Ujenzi wa Mradi wa Stiglers Gorge wakati Sisi Wataalam tumeshatolea Ufafanuzi wa Kutosha kuwa kwa sasa hili jambo linaweza lisiwezekane kwakuwa Maji ya Mto Rufiji hadi vyanzo vyake kila Siku yanapungua Kina chake. Watu wa Mazingira na wale Wasaidizi wa Rais kwanini hawamuambii huu ukweli ili kufanyike utaratibu mwingine na badala yake wanamdanganya tu na kumpa Moyo wakati hali si shwari? " amesema Mtaalam.
Tujadili.