Mtaalam: Watanzania mnadanganywa Stiglers Gorge haiwezekani kwani Kina cha Maji Mto Rufiji kinapungua mno

Kwa bahati mbaya sana wengine tunashindwa kutoa maoni vizuri kutokana na kukosa weledi.

Mimi ninafikiri tofauti, kama pesa zipo, huo mradi na uendelee kisha hatua za kutunza mazingira zichukuliwe kwa haraka. Vyanzo vyote vinavyopeleka maji katika mto Rufiji vitunzwe kwa nguvu zote.
 
Wewe ni mchagadema sifa kuu ni uchawi na roho mbaya
 
Ngonjera za wauza majenereta
 
Mtaalam gani hana jina, mtaje
 
Mtaalam wa vichochoroni.
 
Huyo siyo mtaalam, bali ni adui wa Taifa.
 
Tulipoambiwa kuna makaa ya mawe yatazalisha umeme "meza ziligongwa viunu vikakatwa!!" Tukaambiwa sasa tuna gesi ndio suluhisho la kudumu kwa umeme "tukaamini tumepona donda ndugu" kumbe bado sasa tumeletewa "Stiglers Gorge" nayo huenda ikawa si chochote!!! Pana harufu ya ulaji... ikiwa itafeli panapaswa watu wawajibike kwa kuhujumu nchi... ikifanikiwa watunukiwe heshima zao.
Tuna madini ya "urani" kwanini yasirutubishwe ili kuzalisha umeme?
Dunia inakwenda kasi wakati ikiingia 5G sisi tunarudi analog ya 19xx!!!
Kiasi kwamba mtu unawaza Kwa fisiemu maendeleo ni sawa kuchanganya maji na mafuta!!!
 
Mkuu wanaweza wakamwambia shida ni kukubaliana nao.Huyu Jamaa ni mshamba na arrongsnt yeye kajipachika unyerere anataka kufanya kila kilichokuwa planned tangu awamu ya yeye,kitu hicho kipo relevant or not kwa sasa yeye hataki kujua ,Anataka kuonekana Kwamba amefanya masmuzi yaliyowashinda watangulizi wake hata kama hayo maamuzi Hayana faida.
 
Umenikumbusha tuzo walizotunukiwa maprofessa wa makinikia,tuna rais msanii sijapata kuona
 
Shida ni nani wa kumdhibiti maana watanzania tuliowengi tumejivua wajibu wetu wa msingi,tumebaki tukiwategemea wengine watufanyie
 
Weka namba yako upate zawadi
 
hii haina tofauti na kujenga daraja la salenda pembeni ya daraja kongwe pia haina tofauti na kujenga eapoti chato afu unazuia kujenga bandari ya bagamoyo. upumbaffff mkubwa kutoka jalalani😲👽👹👷👷👎👎
 
Hahahaaa alafu wewe kunasiku uliweka uzi wa hovyo humu nikakutukana, au nasema uongo,sijakutukana?. Hahahaaa
Sijawahi kuweka uzi JF. Inaelekea umenifananisha na profesa wa Jalalani
 
Tatizo letu bado tunafikiri kila jambo Mwalimu alilotamani lifanyike na halikufanyika enzi za utawala wake kwa sababu mbalimbali basi na lifanyike sasa kwani lina baraka zote na ndiyo njia pekee ya kumuenzi.
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…