Mtaalam: Watanzania mnadanganywa Stiglers Gorge haiwezekani kwani Kina cha Maji Mto Rufiji kinapungua mno

Nadhani tatizo si washauri. Tatizo ni Magufuli mwenyewe
 
Utatekwa
 
Mtaangaika sana Awamu hii. Ila kila kitu lazima kifanikiwe. Iwe jua iwe mvua lazima kila kitu kifanikiwa hakuna litakalo shindikana.
toa sababu za kitaalamu sio lazima lazima bila kuwa na facts
 
Tatizo nyie mawakala wa gas mnaona mnachelewa kupata chenu, [emoji41]
 
Kiongozi wa kumshauri yuko wapi ?! Mungu atende miujiza ndiyo salama ya Tanganyika not otherwise [emoji87]
 


Utakuwa umetumwa na manyangau na mabeberu? Waambie tunaendelea
 
Habari zakishambenga hizii, mkiitwa wachochezi mnalialia..

Wewe jitu zima unaleta habari za saloon kwenye jukwaa la watu wenye kifikiria, kuchanganua na kujifunza..

Mod futa huu uzii hauna vielelezo vyovyote zaidi ya uchochezi na kudhalilisha jukwaa
 
hilo halihitaji mtaalamu kubaini hilo. mito yote dunian inazidi kupungukiwa na kina cha maji. kwasababu ya global warming. ni mpumbavu tu anaye weza kuwekeza kwenye uzalishaji wa umeme wa kutumia maji. sasa hivi nchi zote dunia zinaachana na umeme wa mapromoko ya maji. tanzania tuna gas na juwa la kufa mtu mwaka mzima halafu bado watu wenye mawazo mgado wanaona stingiler gorge ndio njia bora y kuzalisha umeme!!
 
Huu mradi ametolea ushauri kama mtaalamu sawa, atwambie umeme wa gas alishaulije kipindi kile unashupaliwa na sospeter mhongo kuwa ni mwarobaini wa umeme nchini mpaka Leo haieleweki
Kama kuna mtua anaamini kwamba umeme utatatuliwa na stiglers' atakuwa mgonjwa. There is a lot into it aseee
 
Watanzania hawana tatizo. Dawa ya usingizi waliyochomwa haiishi leo, kesho wala kesho kutwa.
 
Hata mimi mbumbu nisiyesoma haiingii akilini eti maji yote yaliyoenda Baharini tangu Dunia iumbwe hayawezi tena kujaza hilo Bwawa
Basi mafuriko tutarajie
kuna wataalamu vichwa mbuzi kwanini asitoe sababu? maji ya Mtera na Kidatu yanageuza kwenda Victoria au Malawi?
 
Acha mhemko hiyo habari isiyokua na source umeotoa choo gani
 
.. This is the project na sio maji tu yanajiendea kuendesha water turbines, maji mengine yakishatumika unaweza kuyareciycle yakatumika tena na tena kupitia hizo storage dams..


Wewe unaweza kuelezea kitaalamu jambo hilo.
 
Mtaalamu feki huyo. Hata ile kazi ya kuchora twiga kwenye ndege walileta wataalamu feki na makadirio feki JPM akawatinua.
JPM songa babaaaaaaa!
 
Kwa hiyo mtaalamu anashauri nini? Ongea naye aweke mawazo mbadala baada ya kuahirisha ujenzi wa STIGLERS GORGE. Kama wewe ndio mtaalamu umekuja na ID fake funguka pia ili tupime mawazo na ushauri wako kwa serikali
 
Huyo mtaalam wa mafichoni anachosaidia ni kumchangia mello basi.
 
Kwa kipindi hiki ambacho dunia inakabiliwa na janga la uharibifu wa mazingira unaochangiwa na mabadiliko ya tabia ya nchi haihitaji utafiti kujua kuwa vyanzo vingi vya maji vinaelekea mwishoni
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…