Mtaalam: Watanzania mnadanganywa Stiglers Gorge haiwezekani kwani Kina cha Maji Mto Rufiji kinapungua mno

Aibu yenu au aibu yao?
 
Kikwete na Wabrazil walikuwa na mpango mzuri sana wa Steiglers gorge, mwendazake alipoingia akupiga chini. Kaingizwa chake.

Wabrazil walikuja wakasema ziwe dam ndogo mbili mpa nne, umeme hautakosekana, badala ya moja kubwa. Tena ingezalisha umeme mara mbili ya sasa.
 
Alishindwa nini na hao wabrazili wake.
Mna vituko na huyo mzee wako. Yale yale wakati wa uzinduzi wa Ikulu Dodoma. Alikuwa Rais kwa miaka kumi, nini kilimzuia.
Huoni kama ni ujinga kumsifia mtu aliyekuwa na nafasi akashindwa kufanya. Sasa amekuja mtu kafanya tena ndani ya miaka mitano halafu ndo mnajotutumua. Eti Kikwete.
 
Hilo Moja litakapo kamilika vizuri tuombe lisikumbwe na natural disasters
 
Endelea kusubiri majibu yako
 
Kikwete huyu huyu aliegawa gesi yetu?
 
Wabrazil walikuja wakasema ziwe dam ndogo mbili mpa nne, umeme hautakosekana, badala ya moja kubwa. Tena ingezalisha umeme mara mbili ya sasa
Asante kwa taarifa hii muhimu. Unaweza kutupa maelezo ya kina hawa wabrazil walitaka hiyo project iweje. Itatusaidia tunaweza kuitumia maeneo mengine.
 
Hilo Moja litakapo kamilika vizuri tuombe lisikumbwe na natural disasters
Moja halina tatizo, lipo vizuri/ Tatizo ni kubwa sana kwa maji kujaa haraka.


Kulifanya liwe na tija inabidi zitumike pesa nyingi nyingine kujenga bwawa dogo mbele yake, halafu huku maji yafunguliwe, lile dogo liwe linafuwa umeme.


Mwenyezi Mungu akijaalia maji yakijaa, yatafuwa yote mawili. Yakipunguwa, moja litakuwa linafuwa tu. Tunaweza kwenda kwa hesabu hizo yakawa manne matano. No problem.


Brazil ilikuwa tayari kabisa wafanye hivyo, yule mwehu akawaona waliomtangulia wajinga, akapiga chini dili la Brazila akaleya lake la bwawa moja. Pambaf yule.

Euphrates lina mabwawa ya kufulia umeme 19.
 
Acha uongo basi, mbona kikwete alikaa madarakani miaka 10 na hatukuona hata dalili ya hicho unachokisema kufanyika? Au huo mpango mzuri alokuwa nao alitaka nani autimize? Wabrazili ama!
 
Acha uongo basi, mbona kikwete alikaa madarakani miaka 10 na hatukuona hata dalili ya hicho unachokisema kufanyika? Au huo mpango mzuri alokuwa nao alitaka nani autimize? Wabrazili ama!
Ulikuwa wapi wakati wa Kikwete na ulikuwa na miaka mingapi? Jionee humuhumu JF enzi hizo tulijadili sana:




Mmeanza kupata kujuwa kuvitumia visimu jana mnajifanya wajanja.


Punguani wahed.:
 
Ukweli usemwe.


Mwendzake ndiyo aliyeliunda hili bomu. Bwawa likuwa tayari lianzwe, yeye ilikuwa asimamie tu, akenda kufuta mkataba wa Brazil wa mabwawa manne badala ya moja. Fala yule, tulijadili sana humu JF, wakati wa JF haswa siyo sasa imejaa vinuka mikojo:

Tanzania, Brazil plan US2billion hydropower plant



DAR ES SALAAM, Tanzania 12/6/10 (PennWell) --
Tanzania is planning with Brazil to construct a US$2 billion hydropower plant in Tanzania, wire services reported.

Officials from Tanzania held talks with their Brazilian counterparts in Sao Paolo earlier in 2010 on the construction of the proposed 2,100-MW Stiegler's Gorge hydropower station, Reuters reported.

The plant would be a source of cheap, abundant energy at a cost of around 2 U.S cents per kilowatt hour. It would help control flooding in the Rufiji area and create a reservoir with a total capacity of 34 billion cubic meters to supply the commercial capital Dar es Salaam and other regions, wire reports indicate.

The government is considering funding options for the project, including concessional loans, private investment or state financing, reports indicate.

Brazil will provide the technology to build the plant, Reuters reported.

The project's current timetable calls for the feasibility study to be updated next year and for the first of three 700-MW turbines to be installed in 2012, media reports indicate. Full project completion is projected for 2015.

Recently, the government of Tanzania signed a deal with Russia-based Borodino for the construction of the $700 million Rumakali hydropower plant in Tanzania's Iringa region.

Construction of the 222-MW hydropower station will begin by 2013, and the plant is expected to come online by 2018, according to reports.

SOURCE: HydroWorld.com

 
Wewe acha kutudanganya. Wote tunajua huu mradi kikwete ulimshinda. Sababu mabeberu walimuwekea vikwazo sijui mambo ya mazingira etc.... hata kama JK angeongoza hii nchi miaka 20 bado hakuna kitu kingefanyika stiglers.

JPM kaja, kaziba masikio kafanya jambo, saiv unaanza siju yalitakiwa kuwa mabwawa ma4 blablablaa... sijui mlijadili sana humu JF, inamaana project ya Stiglers ilikuwa ijengwe kwa mijadala ya JF? Ndo mlikubaliana na kikwete hivo?
 
Hapa JF nna 12 yrs. Just for the record nimejiunga JF kabla yako. Ujue sasa sijaanza kutumia visimu jana na wakati wa kikwete nilikuwa mtu mzima tu.
 
Kikwete yupi unayemzumgumizia .huyu hata sisimizi wwnajua alikuwa alikuwa dhifu hasa
 
Cookies are required to use this site. You must accept them to continue using the site. Learn more…