Mtaalamu wa Bakery Products anahitajika

Mtaalamu wa Bakery Products anahitajika

FBY 2013

JF-Expert Member
Joined
Sep 18, 2013
Posts
401
Reaction score
90
Wanabodi,
Kwa mwenye mawasiliano/kujuana na Mtaalamu wa Masuala yan Bakery anahitajika Morogoro.
Itapendeza ikiwa atapatikana kutoka either Morogoro,Dar, Pwani au Arusha.
Kama atapatikane uni PM au Tuwasiliane kupitia businessnow271@gmail.com
 
Labda niulize kwa staili nitakayoelewa vzuri, unahitaji watu wa kuoka Mikate & the like au?
Wengi ninaowafahamu sidhani kama wanauelewa wa email issues zaidi ya mobile fone na s.l.p
 
Labda niulize kwa staili nitakayoelewa vzuri, unahitaji watu wa kuoka Mikate & the like au?
Wengi ninaowafahamu sidhani kama wanauelewa wa email issues zaidi ya mobile fone na s.l.p
Exactly Mkuu,awe anafahamu kuoka Mikate,cake,Pizza na Barger....
 
Back
Top Bottom