Punguza wanga kwa kiasi kikubwa na sukari.Habari dr, Mimi dr nimeambiwa nijiepushe na vitu vya sukari, sababu sukari inaninyemelea, sasa nauliza vipi matunda nayo yamo katika hiyo orodha ya vitu vya kuepukwa? Maana matunda nadhani yote yanasukari
Punguza wanga kwa kiasi kikubwa na sukari.
Hongera kwa msaada unaotoa kwa jamiiHabari wakuu,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.
Karibuni sana.
View attachment 361607
Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.
Ndugu daktari kukiwa na kama kauvimbe sehemu ya haja kubwa na kutoka damu kidogo wakati wa kujisaidia haja kubwa ni tatizo gani..hiyo hali ina kama siku tatu.... mwezi mmoja uliopita nimekuwa niki experience muwasho kuzunguka sehemu ya haja kubwa na kauvimbe kalikuwa kadogo..je ni tatizo gani na tiba yake ni nini ?Habari wakuu,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.
Karibuni sana.
View attachment 361607
Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.
Nilianguka kwenye mti nikiwa mdogo, nikajigonga kwenye likichuguu mgogoni, nikawa nasikia maumivu kwenye uti wa mgogo, ila siku zilivyokwenda maumivu yakaacha. Ila ninapopata jambo la kunishtua au kuniogofya, huwa nasikia vitu kama sindano vinanichoma choma kwenye uti wa mgongo.Habari wakuu,
Nakaribisha maswali yoyote kuhusu magonjwa, dawa, tiba na afya kwa ujumla. Kama una maswali kuhusu ugonjwa wowote, vipi kuishi na magonjwa, kufanya mabadiliko kwenye maisha baada yakupata ugonjwa, matibabu, matumizi ya dawa, matumizi ya dawa pamoja na dawa nyingine au athari zake.
Karibuni sana.
View attachment 361607
Kama umejibiwa maswali na mtu mwingine na haijakufaa ni kosa lako.
Mimi nitajibu maswali zote mwenyewe kama Daktari.
asante kwa hii fursa....Habari wakuu,

MTAFUTE Mtambuzi ANAYO DAWA INATIBU 100%asante kwa hii fursa....
nina mzazi wangu miaka kama 90 Kapata taizo la kisukari je tiba mbadala ni ipi ni kipe tumfanyie kuanzia mlo na mambo mengine .Je adhari za ugonjwa ni zipi ??pia naomba kujua juu ya sindano za kisukari MADHARA YAKE YAPI?
Habari, mimi ninatatizo na koo langu baada ya kubalehe nimekua na sauti nzito sana ikiambatana na makohozi ambayo kama yana vumbi sasa nashindwa kuelewa ni tatizo japo sijawahi kwenda kwa daktari yeyote juu ya hili pia nahofia isijekua kansa maana baba yangu mdogo alikua nayo ya koo. tafadhari naomba msaada wakoHabari wakuu,