Follow along with the video below to see how to install our site as a web app on your home screen.
Note: This feature may not be available in some browsers.
Naomba nikutie moyo mkuu....ni kweli hiyo hali huwa inatukuta hasa kile kipindi cha ukuaji,binafsi hii hali ilinisumbua sana mpk nikaona kama ninamapungufu labda na nilijitahidi sana kutumia dawa nyingi bila mafanikioNna tatizo la chunus nimeenda Hosp nimepew vidonge acnotin 10 na acne free cream nna siku ya 20 Leo ila machunus yamezidi uso haufai pia mi ni ni mweus basi ukiniangalia nimezidi kuwa mweusi Mara tatu yake je nikawaida au vipi?
H pyloriHbr Dr.
Madaktari wetu huwa hawana muda wa kuongea na mgonjwa na kudadisi kwa kina. Nilikuwa na tatizo la kusumbuliwa na malaria kwa karibu miaka kumi mfululizo, miaka hii miwili ukiwamo huu ndio siumwi sana. Sambamba na hill tangu 2002 ninasumbuliwa na Tumbo. Nilipima b/meal pale MMC mwaka huo, wakaona D-Cup is ulcerated. Nikatumia H/Kit. Hakukuwa na nafuu. 2004 Nikafamya endoscopy Serian Hospital Arusha, Dr. hakuona ulcers ila kulikuwa na inflamation sana tumboni. 2010 nikafanya tena endoscopy kwenye Private Hospita., Dr. Akasema kuna vidonda vingine vinaanza vingine vinapona akanipa dawa pamoja na sindano ya kwenye mshipa tatizo halikuisha. 2016 nikafanya tena endoscopy MNH, Dr. hakuona vidonda Ila Tumboni kuna inflammation sana. Kwa sababu ya kuwa na gesi nyingi sehemu ya chini ya kitovu pamoja na kukosa choo kwa hata siku tatu ameshauri afanye colonalscpy, hiki kipimo bado hajakifanya. Ameniambia nifanye Kipimo kingine urea breath test, nimetafuta hospitali zote DSM nzima hakuna hocho kipimo.
Tatizo nikipewa Yale madawa ya kuondoa gesi Mara nyingi yananisabisha kukosa choo. Pia nialiwahi kufanya kipimo cha Hpyroli majibu hayakuweza kuthibitisha uwe.
Aidha ninapata maimivu ya kiuno na chini ya kiunko mpaka kwenye matako. Mgongo mabega nayo yanauma. Nikirudi nyumbani huwa nalala kifudifudi kwa muda wa kama nusu saa mpaka saa moja ili kutoa gesi.
kwa wadudu hao. Hii ni historia kwa kifupi.
Naomba ushauri na mwongozo na sehemu sahihi ya kupata tiba.
Mpatie mafuta ya samaki mfululizo kwa miezi 4-6.... Tafuta quality brand.Mtoto wangu alizaliwa kabla ya muda alopaswa kuzaliwa. Madaktari walisema yupo sawa hana shida yoyote. Tulikaa hospitali kwa wiki tatu tukaruhusiwa kurudi nyumbani. Awali alikua sawa kabisa na ukuaji wake upo vizuri Sana na sio rahisi mtu kujua Kama alizaliwa njiti ukimwona sasa. Ila baada ya kufikisha miezi minne alianza kukohoa kikohozi kikavu, mwanzoni tulidhani ni kawaida tukaenda hospitali akapewa syrup za kikohozi kikawa kinapoa na baada ya muda kinarudi palepale. Sasa ana miaka miwili na miezi mitano, tumeenda hospitali kubwa Hadi ultera sound zimefanyika wanasema hakuna tatizo. Anaongea, Ni mchangamfu Sana na hana shida nyingine yoyote isipokua hiki kikohozi kikavu na kisichopona. Tumeshapewa dawa nyingi lakini hajawahi pona akaacha kabisa kukohoa.
Hii inaweza kuwa Ni shida gani na nifanye Nini mwanangu aondokane na shida hii.