SINGLE WINDOW
JF-Expert Member
- Sep 2, 2021
- 356
- 278
Ni ile miti mitano ilioko kule kuelekea tabata kinyerezi unakata kulia mkuu?Wana JF habari za muda huu?
Nahitaji mtaalamu wa kukata miti pembeni ya nyumba ni miashoki imekuwa mirefu sasa nataka kuikata bila kuathiri nyumba pembezoni aliye na utaalamu huo tuwasiliane inbox ni maeneo ya Tabata.
Yes ndiyo hiyo nahitaji itoke unaifahamu?Ni ile miti mitano ilioko kule kuelekea tabata kinyerezi unakata kulia mkuu?
Njoo inbox mkuu unipe namba nikupigieMimi ni mtaalam mbobezi kwenye mambo ya kukata nipe hiyo kazi