Mtaalamu wa kukata miti pembeni mwa nyumba

Mtaalamu wa kukata miti pembeni mwa nyumba

SINGLE WINDOW

JF-Expert Member
Joined
Sep 2, 2021
Posts
356
Reaction score
278
Wana JF habari za muda huu?

Nahitaji mtaalamu wa kukata miti pembeni ya nyumba ni miashoki imekuwa mirefu sasa nataka kuikata bila kuathiri nyumba pembezoni aliye na utaalamu huo tuwasiliane inbox ni maeneo ya Tabata.
 
Ni ile miti mitano ilioko kule kuelekea tabata kinyerezi unakata kulia mkuu?
 
Kama hujapata, kuna kijana huwa namtumia kwenye maeneo yangu, anaweza kukusaidia
 
Back
Top Bottom