Natafuta mtaalamu wa kupima maji chini ya ardhi anayeishi DSM, kwa ajili ya kuchimba kisima kirefu, kama kuna mwanajamii yeyote anafanya kazi hiyo tafadhali tuwasiliane kwa email hii hapa chini.
Au kama unaye jamaa unamfahamu tafadhali naomba anwani yake.