Meneja Wa Makampuni
JF-Expert Member
- Jul 7, 2020
- 7,899
- 10,415
Au wakamfungulia uhujumu uchumi kabisa...😜Namuunga mkono.
Sitashangaa chama tawala wakimpa ukatibu kata
Kiyombo hivi yupo kweli?Nikajua ni kayombo
Alikua usaKiyombo hivi yupo kweli?
Mbona kuna taarifa zilisema amefariki.Alikua usa
Ni kweli mkuu, kama wazawa wakipewa nafasi ya kutumia akili zao vizuri hakika wanaweza kuvumbua vitu vingi tu.Hayo ndio tunayoyataka na JF yanapigiwa kelele kila siku kuhoji usomu wa mtanzania na mwafrika.
Wasomo watatue matatizo sio wageni tu. Kushirikana sio mbaya hata China, Marekani inashirikiana ma mataifa mengine.
Wasomi wa kada nyingine waige hasa kwenye madini almasi dhahabu nk.
Kuna mgodi mmoja wa dhahabu niliwahi sikia ktk TV jamaa wakieleza walivyowekeza.
Tuone kwenye sekta mbalimbali kama uvuvi, kilimo , misitu, madawa nk
Tanzania inaweza kuuga umasikini.