Mtu aliyesoma fani ya ‘sales and marketing’ na akaiva vizuri na akajitambua amesoma nini; huyu ni tajiri tayari, hatakiwi kuajiriwa.
Kama ataajiriwa, kuna uwezekano wa yeye kutokujua amesomea nini.
Makampuni mengi yana bidhaa/mali na yanataka mzigo utoke kwa haraka; sasa akitokea mtu mwenye ushawishi wa mizigo kutoka kwa haraka, mfuko lazima ujae.
Anaweza kuwa na mikataba ya kutafuta mauzo ata kwa kampuni 100+, muhimu tu awe ameiva kikweli kweli huko chuoni na ajue anatakiwa afanye nini, na matokeo yaonekane.